Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Ficha upumbavu wako. Angalia content na hoja. Aidha anatumia Tecno au iphone kikubwa soma na kujadili ujumbe kwa hoja. Bila shaka wewe ni mmoja wa watumishi wapumbavu katika taifa hili.ungekuwa uko vizuri usingetumia tecno
Kama wewe ni mtumishi wa umma au TISS jipige tu kifua alafu sema mimi ni mpumbavuKichwa cha habari na ulichoandika ni tofauti,,,kwa nn ujumuishe watumishi wote alaf utaje kada moja?fwala wewe
Polepole kusimama na kuusema ukweli anastahili pongezi zote. Hata Paulo alitubu na kueneza Injili na hadi leo ndo mtumishi aliyeandika vitabu vingi zaidi vya kueneza Injili.Hata kumshabikia Polepole na kumuona shujaa nao ni ujinga uleule wakumuona EL shujaa huku nae ni mnufaika wa watesi wetu.
NRNE ndio wimbo wa Watanzania wazalendo walioujua na kuukataa ujinga wa CCM toka 1995, Watanzania wote tunapaswa kusimamia hapa na kuachana na vita za maslahi ndani ya CCM.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Kuna techno mpaka za million..be aware.ungekuwa uko vizuri usingetumia tecno
Mpumbavu sio tusi.Mmeishiwa ushawishi sasa mmeamua kutukana tu kila anayekatiza mbele yenu. Mmeshatukana makundi karibia yote sasa sijui mnatarajia mtapataje uungwaji mkono! CDM mjitafakari kwa kweli
Tena zipo hadi za milioni mbili ni pesa yako tu mkuu.Kuna techno mpaka za million..be aware.
Mkuu, ushamba ni mzigo ndugu ππTena zipo hadi za milioni mbili ni pesa yako tu mkuu.
Utakuta mtu anadharau brand fulani ya simu huku hajui thamani ya hiyo brand anayoiponda huenda ipo juu kuliko simu anayoamini ni brand kubwa.
Mfano mtu anaweza kutumia tecno ya laki 9 huku mwingine anatumia iPhone ya laki 5 halafu huyu wa iPhone ya laki tano anajiona matawi ya juu.π
Kama tungekuwa na watumishi wenye akili na huko TISS wangejua tu kuwa CCM ni chama tu cha siasa hivyo hakiwezi kupiganiwa kama Taifa linavyopaswa kupiganiwa.Hizi ni ajira za kamlete fln (vimemo) ndo zimetufikisha hapa. Watu wenye welding wanaachwa wakiendesha bodaboda mtaani