Hakuna Nchi yenye Wafanyakazi wa Serikali wasio wazalendo kama Tanzania

Sahihi
 
Ulivyo na akili ndogo sasa, unadhani hizo nida wanazipeleka kwa hiyari yao!? Inakuja kama amri tu, kila mtumishi ahakikoshe ktk file lake kuna hizo taarifa wanazozitaka.
Mimi naona huyo jamaa ndio ana akili kubwa kuliko anaetukana watu JF.
 
Hao watumishi wa umma unawaonea tu. Hasa wasimamizi wa chaguzi.

Kuna watu wapo nyuma ya hizo kazi chafu ambao huwaapisha na kuwabana kwa sheria mbovu. Tena kwa vitisho vya kuwafunga au kuwaua kabisa.

Tafakari.
 
Mpumbavu sio tusi.

Ni mtu anayefanya jambo la kijinga huku akiwa anajua kuwa anafanya jambo la kijinga bila kuchukua hatua za kubadilika.
Ok, basi na wewe ni MPUMBAVU, MJINGA kama sio tusi.
 
Hao watumishi wa umma unawaonea tu.Hasa wasimamizi wa chaguzi.Kuna watu wapo nyuma ya hizo kazi chafu ambao huwaapisha na kuwabana kwa sheria mbovu.Tena kwa vitisho vya kuwafunga au kuwaua kabisa.Tafakari.
Kwani Sheria zinatungwa na nani kama sio watumishi wa Umma? Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Serikali wanaoandaa Sheria na kuziwasilisha Bungeni wote ni Watumishi wa Umma.

Wote hao sio wazalendo na ni wapumbavu.
 
Hivi,tukikaa na kujishika mashavu kuwaza,wabunge ambao huletewa tu readings baadaye bills bungeni na wenye mamlaka,ambao ndiyo tunawaita watunga sheria,tunaweza kuwaita ni watumishi wa umma?
NB:Soma kwa umakini nilichokiandika mkuu.
 
Bunge wanapitisha tu kinacholetwa na watumishi wa Umma. Either kwa ku endorse au kurekebisha kidogo
 
Bunge wanapitisha tu kinacholetwa na watumishi wa Umma. Either kwa ku endorse au kurekebisha kidogo
Hao unaowaita watumishi wa umma,katibu wa bunge na jopo lake,nao hutumika na kundi la wahuni bila ridhaa yao.Hebu elewa basi.
 
Huko tiss ndio hakuna kitu kabisa wamejaa UVCCM na watoto wa waliowahi kuwa tiss na watoto wa wanajeshi ( recruiting system mbovu)

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Kabisa. Ovyo kabisa tunazidiwa na nchi kama Kenya, Ethiopia na Rwanda katika ukanda wetu. Lakini tunavyojisifu, achaaa! Idara ilikuwa ni Ile ya Nyerere na Mkapa.
 
Kila eneo kila sekta, kila idara, kila ofisi hao watumishi wasio wazalendo wapo na ni wengi dhidi ya wachache ambao ni wazalendo
 
Kabisa. Ovyo kabisa tunazidiwa na nchi kama Kenya, Ethiopia na Rwanda katika ukanda wetu. Lakini tunavyojisifu, achaaa! Idara ilikuwa ni Ile ya Nyerere na Mkapa.
Mkapa ndo kiongozi wa mwisho alifanya kazi na TISS ya kweli iliyokuwa vizuri.
 
Ulivyo na akili ndogo sasa, unadhani hizo nida wanazipeleka kwa hiyari yao!? Inakuja kama amri tu, kila mtumishi ahakikoshe ktk file lake kuna hizo taarifa wanazozitaka.
Aagh wapi , sio kweli kabisa
 
Kuwa na ridhaa maana yake waache kazi ya utumish wa umma.Tuwape namna mbadala kuishi bila utegemezi wa mwisho wa mwezi.
Kwa nini hawasimamii kuhakikisha kunakuwa na Mabadiliko ya Katiba kuwapa uhuru wa kufanya kazi tena kwa weredi?
 
Haya ameyagundua leo ?, Yameanza leo ? au na yeye ndio Walewale ?; Anyway utakuwa mzalendo kwenye nchi ambayo tangia unazaliwa inakufanya kama Mkimbizi ? Kwahio hapa issue ni Utamaduni wa Mtanzania wa Sasa kuwa na mentality ya kila mtu kushinda mechi zake (it will not change any time soon or instantly; ni vizazi vinavyozaliwa inabidi vikue kwenye mazingira tofauti i.e Monkey See, Monkey Do)

Ficha upumbavu wako. Angalia content na hoja. Aidha anatumia Tecno au iphone kikubwa soma na kujadili ujumbe kwa hoja. Bila shaka wewe ni mmoja wa watumishi wapumbavu katika taifa hili.
mh, kama hauna hela kunishauri itakuwa ngumu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…