Anakosa gani ?angalizo ukiacha kuchangia hoja humu hakuna atakaejua umeenda wapi, we komaa tu
atakuwa amekosa hela za bando, maana sidhani kam anafanyakazi ya kumwinguzia kipatoAnakosa gani ?
mlifanyishwa mtihani tra wa kiukweli mkalalamika wamewapa maswali ya AlevelWanskuwaje wazalendo wakati wanaingia kwa vimemo
Kote Watumishi wa Umma + Taasisi za Umma mpaka vyombo vya ulinzi na usalama nchi hii ni maiti. Wote ni wapumbavuUnaposema Watumishi "Ni Hawa Watumishi wa Umma" wa Taasisi mbalimbali za Umma..?