Hakuna mtu aliye responsible na hii Hali.Adui wetu sio Mama, NI katiba ya 1977 na CCM.
Rais AMBAYE pia NI mwenyekiti was CCM amekuwa na madaraka makubwa mno.
Nchi Ina rasiliimali za kila aina, ikiwemo madini ya thamani kubwa, LAKINI serikali inategemea kwa kiasi kikubwa pato lake kutoka kwenye bia. Nchi inaendeshwa na pombe
Umeichangia vipi nchi ili kuepukana na mikopo?.Madini, ardhi
Mwaka 2015_2020 nchi ya Tanzania ilikuwa chini ya utawala wa awamu ya tano.Ukisema hatuna Awamu ya 6 tupo Awamu ya 5 unamaanisha nini? Mimi ninavyoelewa tunaongozwa na Awamu ya 6 ya uongozi wa nchi.
Hao ni wale wanao faidika na haya mapungufu na madhaifu tunayo lalamikiatunaibiwa live, then kuna watu katika mijadala nyeti kama hii wanakuja na comment zao za kipuuzi
TunapigwaIt's unaogopa nini mkuu?elimination? Kama madarasa yanajengwa kwa mkopo unafikiri tozo ni za nini???
Liulize kanisa (Katoriki) lililofanya figisu dhidi ya katiba kisa muislamu Kikwete.Sheikh Ilunga alilieza hili mara tu mchakato ulipoanza na kweli mabadiliko ya katiba hayakufanikiwa.Nenda YouTube msikilize.Inshu katiba mpya yenye kutatua changamoto zote hizi. Unaposema watu wamepandishwa madaraja alafu figure inasoma vilevile,Mimi sioni mantiki yeyote ya kufanya hivyo
Kupitia kodi.ambazo hatunufaiki nazo zaidi ya kunufaisha wanasiasaUmeichangia vipi nchi ili kuepukana na mikopo?.
Umeichangia vipi nchi ili kuepukana na mikopo?.
Kwamba takwimu utakazoleta zitaonyesha kuwa serikali ya Samia haijatoa kabisa ajira mpya. Wacha kunichosha bana😀😀Lete takwimu zako sahihi Kisha tutofautishe na Awamu tangulizi kama upo sahihi na hicho unacho kiunga mkono.
Tukiangalia Awamu tangulizi Kabla ya Awamu ya 5 na 6 zote zilikuwa zinaongeza mishahara Kwa watumishi wote pia Madara wanapandishwa Kwa wakati na hakukuwa na umati wa wahitimu wa vyuo uraiani kama ilivyo Awamu ya 5 na 6
Inaendeshwa na bia, lakini ni biashara inayo pigwa vita kila siku. Siku chache kabla ya Xmas wenye bar Tabora waliitishwa kikao na kuagizwa watafungua kuanzia 9.45 alasiri na kufunga saa 4.45 usiku!Adui wetu sio Mama, NI katiba ya 1977 na CCM.
Rais AMBAYE pia NI mwenyekiti was CCM amekuwa na madaraka makubwa mno.
Nchi Ina rasiliimali za kila aina, ikiwemo madini ya thamani kubwa, LAKINI serikali inategemea kwa kiasi kikubwa pato lake kutoka kwenye bia. Nchi inaendeshwa na pombe
Nchi inaongozwa na Chama Cha MazuzuInaendeshwa na bia, lakini ni biashara inayo pigwa vita kila siku. Siku chache kabla ya Xmas wenye bar Tabora waliitishwa kikao na kuagizwa watafungua kuanzia 9.45 alasiri na kufunga saa 4.45 usiku!
Tulili address tatizo la nchi siku nyingi. Na CCM mlivyo mazuzu mnaona kubambikizia watu kesi za ugaidi ndio kinga yenu. Tutakuja kuuanaKwahiyo leo ndio akili zinawajia kwamba tatizo siyo mama?
Mbona mlisema magufuli ndio chanzo cha matatizo yenu yote na kwamba baada ya kufa ndio matatizo yenu yameisha?
Kwani hayo mambo bado yapo?Tulili address tatizo la nchi siku nyingi. Na CCM mlivyo mazuzu mnaona kubambikizia watu kesi za ugaidi ndio kinga yenu. Tutakuja kuuana
Kwani ugaidi wa MBOWE unasababishwakwa hisani ya chama gani?Kwani hayo mambo bado yapo?
Si aliekuwa anasababisha hayo alishakufa na mkashangilia sana kifo chake?
Na sasa si mnapumua nyie?
Nimesitisha ku argue na wewe,maana hata kuandika ni hujui na nilichogundua kwako ni kwamba unaishi nje ya uhalisia,ingia field uone vijana wanavyolamba ajira licha ya kua hakuna uwiano wa kundi lililopo mtaani na wanaoajiriwa but atleast,Bi Mkubwa anatoa ajira kadiri anavyopata nafasi tofauti na marehemu wenu yule mchoyo aliyewatenga vijana wa kitanzania.Mara nyingi sipendi kujibishana na wapotoshaji kama wewe,viongozi wetu wenyewe wanatofautia kwenye kutoa takwimu za wanawo ajiliwa mara Rais anasema hatoajiri, hukija huku waziri mkuu anasema zimetoka ajira laki moja ( mfano) alafu waziri wa fedha anakwambia ajira zimetoka mia moja (Kwa mfano), alafu ukija mtaani Kuna wimbi kubwa walikosa ajira Baada ya kumaliza masomo. Je,unataka tumuamini nani?
Ukisema tujiajiri,je mitaala ya elimu ya nchi yetu imeweka elimu ya kujiajili? Je,vipi kuhusu mitaji,taasisi zenu zinazohusika na mikopo inamtambuaje kijana ambaye amemaliza shule na anahitaji mtaji wa kujiajili?
Msipende kuongea vitu ambavyo hamvitambui Kwa uwalisiwake upoje Kwa nje