Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kunakipi kinaendelea Tanzania?

Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya, tozo kama kawaida na mikopo ipo pale pale. Je, kunakipi kinaendelea Tanzania?

Adui wetu sio Mama, NI katiba ya 1977 na CCM.
Rais AMBAYE pia NI mwenyekiti was CCM amekuwa na madaraka makubwa mno.

Nchi Ina rasiliimali za kila aina, ikiwemo madini ya thamani kubwa, LAKINI serikali inategemea kwa kiasi kikubwa pato lake kutoka kwenye bia. Nchi inaendeshwa na pombe
Hakuna mtu aliye responsible na hii Hali.
Wafanyabiashara wanapandisha Bei za bidhaa wanavyotaka,
Wasichana wanajirusha na chupa za mirinda nobody cares, wakata umeme wanakata kila wakijisikia, dawasco maji yamejaa Ruvu lkn bado wanakunywa beer.
Traffic police tu ndio bado wanajalijali .
 
Ukisema hatuna Awamu ya 6 tupo Awamu ya 5 unamaanisha nini? Mimi ninavyoelewa tunaongozwa na Awamu ya 6 ya uongozi wa nchi.
Mwaka 2015_2020 nchi ya Tanzania ilikuwa chini ya utawala wa awamu ya tano.

Mwaka 2020 uchaguzi mkuu ulifanyika na wananchi waliendelea kuiamini serikali ya awamu ya tano ikachaguliwa tena ili iongoze hadi 2025 . Kilichotokea Ni kwamba Rais aliyechaguliwa alifariki tarehe 17 Machi 2020 na kwa mujibu wa katiba Makamu wa Rais ndiye aliyekabidhiwa kiti. Hapa means awamu ile ile ndiyo inayotambulika kikatiba.

Sasa tafisiri ya awamu ya sita inatokea wapi? Labda Rais wa sita hapo sawa.

Wataalamu wa sheria watatusaidia.
 
Inshu katiba mpya yenye kutatua changamoto zote hizi. Unaposema watu wamepandishwa madaraja alafu figure inasoma vilevile,Mimi sioni mantiki yeyote ya kufanya hivyo
Liulize kanisa (Katoriki) lililofanya figisu dhidi ya katiba kisa muislamu Kikwete.Sheikh Ilunga alilieza hili mara tu mchakato ulipoanza na kweli mabadiliko ya katiba hayakufanikiwa.Nenda YouTube msikilize.
 
Lete takwimu zako sahihi Kisha tutofautishe na Awamu tangulizi kama upo sahihi na hicho unacho kiunga mkono.

Tukiangalia Awamu tangulizi Kabla ya Awamu ya 5 na 6 zote zilikuwa zinaongeza mishahara Kwa watumishi wote pia Madara wanapandishwa Kwa wakati na hakukuwa na umati wa wahitimu wa vyuo uraiani kama ilivyo Awamu ya 5 na 6
Kwamba takwimu utakazoleta zitaonyesha kuwa serikali ya Samia haijatoa kabisa ajira mpya. Wacha kunichosha bana😀😀
 
Adui wetu sio Mama, NI katiba ya 1977 na CCM.
Rais AMBAYE pia NI mwenyekiti was CCM amekuwa na madaraka makubwa mno.

Nchi Ina rasiliimali za kila aina, ikiwemo madini ya thamani kubwa, LAKINI serikali inategemea kwa kiasi kikubwa pato lake kutoka kwenye bia. Nchi inaendeshwa na pombe
Inaendeshwa na bia, lakini ni biashara inayo pigwa vita kila siku. Siku chache kabla ya Xmas wenye bar Tabora waliitishwa kikao na kuagizwa watafungua kuanzia 9.45 alasiri na kufunga saa 4.45 usiku!
 
Inaendeshwa na bia, lakini ni biashara inayo pigwa vita kila siku. Siku chache kabla ya Xmas wenye bar Tabora waliitishwa kikao na kuagizwa watafungua kuanzia 9.45 alasiri na kufunga saa 4.45 usiku!
Nchi inaongozwa na Chama Cha Mazuzu
 
Kwahiyo leo ndio akili zinawajia kwamba tatizo siyo mama?

Mbona mlisema magufuli ndio chanzo cha matatizo yenu yote na kwamba baada ya kufa ndio matatizo yenu yameisha?
Tulili address tatizo la nchi siku nyingi. Na CCM mlivyo mazuzu mnaona kubambikizia watu kesi za ugaidi ndio kinga yenu. Tutakuja kuuana
 
Job Ndugai ndiye anaweza kumfunga paka kengele. Tozo, mikopo, inflation.......inafikirisha sana.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Tulili address tatizo la nchi siku nyingi. Na CCM mlivyo mazuzu mnaona kubambikizia watu kesi za ugaidi ndio kinga yenu. Tutakuja kuuana
Kwani hayo mambo bado yapo?

Si aliekuwa anasababisha hayo alishakufa na mkashangilia sana kifo chake?

Na sasa si mnapumua nyie?
 
Mara nyingi sipendi kujibishana na wapotoshaji kama wewe,viongozi wetu wenyewe wanatofautia kwenye kutoa takwimu za wanawo ajiliwa mara Rais anasema hatoajiri, hukija huku waziri mkuu anasema zimetoka ajira laki moja ( mfano) alafu waziri wa fedha anakwambia ajira zimetoka mia moja (Kwa mfano), alafu ukija mtaani Kuna wimbi kubwa walikosa ajira Baada ya kumaliza masomo. Je,unataka tumuamini nani?

Ukisema tujiajiri,je mitaala ya elimu ya nchi yetu imeweka elimu ya kujiajili? Je,vipi kuhusu mitaji,taasisi zenu zinazohusika na mikopo inamtambuaje kijana ambaye amemaliza shule na anahitaji mtaji wa kujiajili?

Msipende kuongea vitu ambavyo hamvitambui Kwa uwalisiwake upoje Kwa nje
Nimesitisha ku argue na wewe,maana hata kuandika ni hujui na nilichogundua kwako ni kwamba unaishi nje ya uhalisia,ingia field uone vijana wanavyolamba ajira licha ya kua hakuna uwiano wa kundi lililopo mtaani na wanaoajiriwa but atleast,Bi Mkubwa anatoa ajira kadiri anavyopata nafasi tofauti na marehemu wenu yule mchoyo aliyewatenga vijana wa kitanzania.
 
Back
Top Bottom