Hakuna mtu aliye responsible na hii Hali.Adui wetu sio Mama, NI katiba ya 1977 na CCM.
Rais AMBAYE pia NI mwenyekiti was CCM amekuwa na madaraka makubwa mno.
Nchi Ina rasiliimali za kila aina, ikiwemo madini ya thamani kubwa, LAKINI serikali inategemea kwa kiasi kikubwa pato lake kutoka kwenye bia. Nchi inaendeshwa na pombe
Wafanyabiashara wanapandisha Bei za bidhaa wanavyotaka,
Wasichana wanajirusha na chupa za mirinda nobody cares, wakata umeme wanakata kila wakijisikia, dawasco maji yamejaa Ruvu lkn bado wanakunywa beer.
Traffic police tu ndio bado wanajalijali .