Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,104
- 917
- Thread starter
- #61
Mara nyingi sipendi kujibishana na wapotoshaji kama wewe,viongozi wetu wenyewe wanatofautia kwenye kutoa takwimu za wanawo ajiliwa mara Rais anasema hatoajiri, hukija huku waziri mkuu anasema zimetoka ajira laki moja ( mfano) alafu waziri wa fedha anakwambia ajira zimetoka mia moja (Kwa mfano), alafu ukija mtaani Kuna wimbi kubwa walikosa ajira Baada ya kumaliza masomo. Je,unataka tumuamini nani?Nani kasema hakuna ajira mpya?,nani kasema hakuna nyongeza ya mishahara? we ni mtanzania kweli?
Ukisema tujiajiri,je mitaala ya elimu ya nchi yetu imeweka elimu ya kujiajili? Je,vipi kuhusu mitaji,taasisi zenu zinazohusika na mikopo inamtambuaje kijana ambaye amemaliza shule na anahitaji mtaji wa kujiajili?
Msipende kuongea vitu ambavyo hamvitambui Kwa uwalisiwake upoje Kwa nje