huyu kidogo anaakili...
nafikiri awashukie pia wale ambao hujidai wanyenyekevu wapakwa mafuta wanao soma shule sana na kutumia shule zao kuwateka waumini wao akili kwa vitisho kua eti kama hudhurii jumuiya hatukuziki kana kwamba wao ndio wana coupon za mbinguni huku wao wakiwa na miradi mikubwa ya mashule,benki,vyuo,hosipitali nk iliyozalishwa na sehemu ya sadaka zao na kuwacha waumini wao wasiojielewa hoi kiuchumi