Hakuna raha kama kuwa na Mwanamke mzuri, mwenye Elimu na Pesa halafu awe anakupenda

Sema brother huwa unaandika point ilabunajikakamua sana na kutumia nguvu sana kufikisha ujumbe
Ukiwa huna kitu lazima ujikakamue na kutumia nguvu nyingi.
Akubali akatae dogo bado hajatoboa sio kwa nguvu nyingi kiasi hiki.

Sio lazima utoboe kwa kila kitu but kuwa na kamsingi huleta ujasiri kwenye presentation kiaina
 
Ni Kwa sababu unaakili ndio maana unaona hivyo.
Ninapoandika naandika Kwa Watu wote, kuna Slow Learners ambao mpaka utumie Njia ndefu ndio wakuelewe.

Nilichoandika ningeweza kuandika Kwa Aya tatu tuu,
Maneno mengi yatapungua ukianza kuyaishi haya unayoyaandika.
Kwasasa hata uandike kitabu unahisi kama hujaeleweka unatamani useme zaidi.

But maisha huongea zaidi ya maneno na hueleweka kirahisi.

Nadharia ni ngumu sana kuziingisza vichwani mwa watu
 
Maneno mengi yatapungua ukianza kuyaishi haya unayoyaandika.
Kwasasa hata uandike kitabu unahisi kama hujaeleweka unatamani useme zaidi.

But maisha huongea zaidi ya maneno na hueleweka kirahisi.

Nadharia ni ngumu sana kuziingisza vichwani mwa watu

Nadharia ndio huanza Kabla ya vitendo, hujasoma Mkuu,
Zinaanza nadharia, kisha Law na formula.
 
Kumbe mnapenda kuwa roho juu juu πŸ˜ƒ na mkifanyiwa hivyo bado mnalalamika dah mtihani wallah

Mwanaume asipokuwa Roho juu arakudharau.
Mapenzi huchochewa na Wivu.
Wivu unamaanisha kuna kitu cha thamani kipo Kwa MTU.
Ukishajirahisisha, ukawa huna thamani Nani akuonee Wivu Bibie
 
This is where Misogynism meets Racism.

A typical stance taken by a true Mysogynist when his pride is questioned, when his prowess is so shaken.

Say...
No to Racism.
...and rebuke its hatred and Messages.

We, Tanzanians are better than this bigoted and racist Robert Heriel.

Wacha ugaidi wa mtandaoni.
 
Kwa ufahamu wangu na kwa yale nimeshuhudia ni kwamba mwanamke yupo hypergamous. Maana yake ni kuwa hatosheki anapopewa moja atataka mbili,akiipata mbili atataka tatu na nne,akipewa tatu na nne atataka tano na sita pamoja.

Therefore, kumpa mwanamke Access ya kipato huwa inakuja na mwanamke kutaka mamlaka au maamuzi katika eneo lenu.

Kama ni mkeo atataka sasa awe na last say kwenye mambo ambayo hayamuhusu wala hayana ulazima yeye kuwa na final say.

Katika kitu huwa sipendi ni kubishana na mwanamke ambaye nimeshamuona kuwa ananijaribu kutaka kupima anaweza nitikisa eneo langu ama laah huwa siongei wala kuonyesha direct reaction bali huwa naanza muwekea mipaka ya ghafla sana hadi ajistukie kuwa nimestukia anachofanya.

Ukibishana nae atashindana na wewe aidha kwa kununa au kufanya vitu vya tofauti na wewe ili tu approve hampo page moja.

That's why ni muhimu kumbakiza mwanamke kwenye eneo lake la majukumu tu na sio vinginevyo akianza kukuletea ukengeukaji nenda katafute Pisikali moja matata kijijini na uilete iwe beki tatu halafu ielekeze utaratibu vizuri sana wa majukumu hapo ndani na mjulishe mkeo kuwa huyu atakuwa anatusaidia majukumu ambayo unaona kufanya ni mizigo.

Uone kama adabu haitakuja eneo lake.
 
Hizo sifa ulizozitaja hapo ndio haswa type ya wanawake wanaochapwa kiholela..cos anakuwa na confidence kuwa hata ukimuacha market yake iko juu cos ana kila kitu..uchumi mzuri na elimu ya kutosha..hakuna kiumbe hatari duniani kama mwanamke anayejiweza kifedha..nadhani kwenye maisha ya kawaida tu huwa tunawaona jinsi wanavyokuwa na dharau na roho ngumu
 
Kwahiyo Robert Heriel ni mbaguzi wa rangi au haujui maana ya neno racism?!
 
Soma hapa definition ya Racism
 
Bro..!!

Mwanamke mzuri, mwenye Elimu na Pesa halafu awe anakupenda...!!!​

Hapo umewataja wanawake wanne tofauti..!!
 
Market yake ipo juu au utegemezi wake kwa wanaume ni mdogo?!

Market ya mwanamke mwenye pesa ipo kwa vijana wasio na ramani ya uchumi a.k.a Marioo ambao wanategemea mwanamke awapatie mahitaji kwa mshahara wa kuingia chumvini na kumpagawisha.

Mwanaume ambaye yupo na uchumi au kipato chake huwezi kuta anapoteza focus yake au attention yake kwa mwanamke mwenye wadhifa, sijui pesa au cheo sababu huyu hawatawezana na hakuna kitu anahitaji kwake zaidi ya focus yake, time na attention.

Labda unahitaji kujifunza upya sayansi ya wanawake wanaishi vipi hapa ulimwenguni na cycle yao kutokea utotoni hadi uzeeni.
 
Hapo ndipo shida huanzia.


Mwanamke hatakiwi kukupenda. Anatakiwa kukuheshimu na kukutii

Mwanaume anatakiwa kupenda na kutunza. Ndio maana ana wivu kwa mtu ampendae.

Mwanamke siku hizi nae anapenda😳😳😳. Shida, ndio maana kila siku tunasikia wivu wa kupenda.

Vijana tafuteni pesa mpende na kutunza wake zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…