Hakuna raha kama kuwa na Mwanamke mzuri, mwenye Elimu na Pesa halafu awe anakupenda

Haya mambo hayana formula ..elimu tz ni janga tuna Dada zetu kibao wamemaliza chuo tabia zao tunazijua Na wakitaka Ku fake wana act kwelikweli

Mtu mwenye akili unamjua tu kwa kutazama anavyokabiliana na changamoto za maisha.kumaliza chuo sio kigezo cha kuwa umeelimika. Kuna wajinga wengi tu wamemaliza vyuo vikuu
 
....sasa unarudi kule kule kuwa mwanaume mwenye wadhifa wake hawezi poteza muda kwa mwanamke mwenye mafanikio sana kwa sababu anajua hawatawezana
 
Na me sina cha kuchangia zaidi ya kupiga like kama ndugu yangu wa damu kabisa ndege JOHN
 
Sasa hapo mkuu si wanawake wanne unamaanisha !!!
1 Mzuri
2 Mwenye elimu
3 Mwenye pesa
4 Mwenye mapenzi ya dhati
 
Sayansi ya hao watu ni ngumu sana hasa kutokana na malezi aliyopewa nyumbani kwao,sema mtoa mada ni bachela ana ndoto za kuoa mwanamke mrembo meneja wa benki au mfanya biashara mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23] ukweli haupo hivyo ukimpata wa darasa la saba na ametoka familia duni ila wife material usimdharau kisa unatamani wanawake wasomi na wenye pesa ambao utaishia kupishana nao barabarani tu.
 
Hahhaha umetisha mwamba.
 
Hakuna kibaya kama kuzaliwa familia maskini kila wakati wao huwaza pesa tu kwenye mahusiano

Famil8a zenye uwezo huenda beyond that sababu pesa kwao sio shida huangalua vitu kama status ya maisha ya muoaji au muolewa ,maadili nk

Pesa Haiwi kipaumbele sana sababu wanajiweza
 
Binti Kimoso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…