Hakuna raha tena ya sex kwa sababu ya fungus

Huu mwaka fungus zimenishambulia mara2 mpk nikahisi labda nina HIV nikaenda kupima niko fresh

Nilikuwa nawashwa sana nimetumia Dawa inaitwa Gynex pessary unaingiza vidonge huko chini siku 7 tu niko fresh now… sina hizo dalili tena

Kinachoniumiza saivi kila nikimwagiwa shahawa nasikia uchungu hali ya kuungua kama dakika kadhaa hivi au mpk ninawe ila nikitumia kinga sisikii hayo maumivu,, Hii hali imeanza miezi 4 sasa

Na kingine kila tunavyoanza napata maumivu sana kama vile ndio natolewa bikira yaani uume unapita kwa mbinde sana hata niloane vipi.. nakuwa Kama nakandamizwa.. Hii hali ni endelevu tangu nianze sex

Hiyo hali inanifanya mpk niogope kurudia round tena maana mwenzangu anapotaka tena nawaza kuanza upya kuingiza maana njia inafunga tunaanza kuvutana na maumivu mpk hisia zinakata
Japo ikishaingia tu maumivu sisikii ila mwanzoni nasikia uchungu

Nataka nijaribu tiba lishe hawa madaktari nasikia Dawa zao ni nzuri na uhakika ila sijui niende wapi maana ni wengi kila mtu anavutia kwake
Dah!!
 
Wewe ni kadogo tu kwanini unakubali kumwagiwa shahawa ? Siku nyingine kataa, sawa!
 
Hatari kuna manzi hapa kitaa inamsumbua sana kuna thread flani jamaa anaelezea kuhusu vidonge flan kuchanganya na vasseline kidogo ilisaidia kwa kiasi chake ila inshu ikaja kwenye sex ni kama anatolwa bikra na kila dawa katumia lakini wapi hospital kaenda tatizo lipo tu na kila akipima anakuta ni 'Yellow wish formed/Pus cell' hii inshu inachanganya
Yaani sijui inatibikaje
 
Huu mwaka fungus zimenishambulia mara2 mpk nikahisi labda nina HIV nikaenda kupima niko fresh

Nilikuwa nawashwa sana nimetumia Dawa inaitwa Gynex pessary unaingiza vidonge huko chini siku 7 tu niko fresh now… sina hizo dalili tena

Kinachoniumiza saivi kila nikimwagiwa shahawa nasikia uchungu hali ya kuungua kama dakika kadhaa hivi au mpk ninawe ila nikitumia kinga sisikii hayo maumivu,, Hii hali imeanza miezi 4 sasa

Na kingine kila tunavyoanza napata maumivu sana kama vile ndio natolewa bikira yaani uume unapita kwa mbinde sana hata niloane vipi.. nakuwa Kama nakandamizwa.. Hii hali ni endelevu tangu nianze sex

Hiyo hali inanifanya mpk niogope kurudia round tena maana mwenzangu anapotaka tena nawaza kuanza upya kuingiza maana njia inafunga tunaanza kuvutana na maumivu mpk hisia zinakata
Japo ikishaingia tu maumivu sisikii ila mwanzoni nasikia uchungu

Nataka nijaribu tiba lishe hawa madaktari nasikia Dawa zao ni nzuri na uhakika ila sijui niende wapi maana ni wengi kila mtu anavutia kwake

Tumia KY wakati unahisi maumivu kokote inapita ni ww tu utaamua utoe wapi, pia tumia dawa nzuri za fungus zipo, acha kuwa mchafu kichwani ( akilini) na uchafu wa mwili kwani fungus hazita kuacha, ukiwa Dar kuna joto acha kuvaa manguo mengi kufunika uchi, vaa bukta au nguo nyepesi sana kama dela, ma jeans mazito, tight na chupi nzito za cotton acha haraka
 
Back
Top Bottom