Hakuna raha tena ya sex kwa sababu ya fungus

Hapa umemuacha mbali mkuu
Ok sawa..
Ni kwamba Kwa Maelezo yake Inaonekana Kuna Mazingira yasiyo Rafiki kwa Bacteria Wasio na Madhara (Normal flora) Kuishi Ambayo yanasababisha kuwepo kwa Fungus na Kuharibu PH Ukeni na ndo maana anapata Maumivu..

Sasa Ili kutibu tatizo Sio kutumia Viua Bacteria/Viua sumu (Antibiotic) maana Utazidi Kuondoa ila Ecology na Utakuwa u a wa Wash hata Bacteria ambao hawana madhara..

Kwa Mfano kwa Wanawake Matumizi ya Antibiotic, Viua sumu au Kuosha Sehemu za Siri mara kwa Mara na Kwa Kutumia Medicated au Sabani au Hata marashi au Perfumes Huchangia Kuua Normal flora yaani Bacteria wasio na Madhara Kwenye Sehemu husika..

Na Bacteria wakipungua Au wakiondoka Basi Fungus Aina ya Candida albicans huanza Kutawala Hilo koloni na Mwisho wa Siku lazima Apate Fungus isiyoisha..

Sasa Njia salama Sio kuua tena Bacteria waliobaki kwa Kunywa mi Antibiotic , Ila Suluhisho ni Kuintroduce Lactobacillus Ambao Ni normal Flora Kuchukua Koloni lao na Kuondoa Fungus as Well kurudisha Ph..

Kuintriduce Bacteria ili.kubalance Ecosystem ya Kwenye Vagina Ndo Huitwa Probiotic kama Ulikuwa unalizia Kuhusu Hilo..

ASante
 
Huu mwaka fungus zimenishambulia mara2 mpk nikahisi labda nina HIV nikaenda kupima niko fresh

Nilikuwa nawashwa sana nimetumia Dawa inaitwa Gynex pessary unaingiza vidonge huko chini siku 7 tu niko fresh now… sina hizo dalili tena

Kinachoniumiza saivi kila nikimwagiwa shahawa nasikia uchungu hali ya kuungua kama dakika kadhaa hivi au mpk ninawe ila nikitumia kinga sisikii hayo maumivu,, Hii hali imeanza miezi 4 sasa

Na kingine kila tunavyoanza napata maumivu sana kama vile ndio natolewa bikira yaani uume unapita kwa mbinde sana hata niloane vipi.. nakuwa Kama nakandamizwa.. Hii hali ni endelevu tangu nianze sex

Hiyo hali inanifanya mpk niogope kurudia round tena maana mwenzangu anapotaka tena nawaza kuanza upya kuingiza maana njia inafunga tunaanza kuvutana na maumivu mpk hisia zinakata
Japo ikishaingia tu maumivu sisikii ila mwanzoni nasikia uchungu

Nataka nijaribu tiba lishe hawa madaktari nasikia Dawa zao ni nzuri na uhakika ila sijui niende wapi maana ni wengi kila mtu anavutia kwake
Zinagatia mlo mzuri utapona.. achana na wanga na sukari badala ya ule proteins na mboga za majani! Usile asubuhi Anza kula saa5 asbh na usiku kula kabla ya saa1 Fungus zitaponaze zenyewe bila hata kutumia dawa
 
Umewahi kutumia Griseofulvin ?
 
Dr Mimi Hakuna nachoelewa Naona flora sijui koloni…

Mimi hakuna kitu nipo makini kama sehemu za siri..kwanza nafuaga chupi naanika juani.. nikikojoa natawaza na maji.. nina kitambaa special cha kufutia uke.. sijawah kuosha uke na sabuni wala kuingiza kidole ukeni

Na nilivyoumwa fungus ndio nikafua chupi zote na maji ya moto nikaanika juani
Sasa hapo sijajua nini nakosea

Nimewaza labda tunavyoandaana wakati wa sex kupima oil sijui na mate mate kuongezea utelezi
 
Dada yangu, Kwa Nini unakuwa na mahusiano baada ya hayo yote kwa haraka? Focus na afya yako, actually huyo mwanaume ndo anakurudisha kwenye maambukizi, please stop, una thamani zaidi ya hizo sex kwa sasa!
Duuh
 
Mungu akubariki upone mapema na uludi mchezon haraka
 
Kazana na mtindi Kila siku pata glass Moja kua mkavu mda wote na msafi usilale na chupi
 
Zinagatia mlo mzuri utapona.. achana na wanga na sukari badala ya ule proteins na mboga za majani! Usile asubuhi Anza kula saa5 asbh na usiku kula kabla ya saa1 Fungus zitaponaze zenyewe bila hata kutumia dawa
Ndugu nitanenepa kweli kg 50 sasa
 
Huu mwaka fungus zimenishambulia mara2 mpk nikahisi labda nina HIV nikaenda kupima niko fresh

Nilikuwa nawashwa sana nimetumia Dawa inaitwa Gynex pessary unaingiza vidonge huko chini siku 7 tu niko fresh now… sina hizo dalili tena

Kinachoniumiza saivi kila nikimwagiwa shahawa nasikia uchungu hali ya kuungua kama dakika kadhaa hivi au mpk ninawe ila nikitumia kinga sisikii hayo maumivu,, Hii hali imeanza miezi 4 sasa

Na kingine kila tunavyoanza napata maumivu sana kama vile ndio natolewa bikira yaani uume unapita kwa mbinde sana hata niloane vipi.. nakuwa Kama nakandamizwa.. Hii hali ni endelevu tangu nianze sex

Hiyo hali inanifanya mpk niogope kurudia round tena maana mwenzangu anapotaka tena nawaza kuanza upya kuingiza maana njia inafunga tunaanza kuvutana na maumivu mpk hisia zinakata
Japo ikishaingia tu maumivu sisikii ila mwanzoni nasikia uchungu

Nataka nijaribu tiba lishe hawa madaktari nasikia Dawa zao ni nzuri na uhakika ila sijui niende wapi maana ni wengi kila mtu anavutia kwake

===========
Maoni ya mdau
Nenda hospital wakuchukue high vaginal swab kwaajili ya culture and sensitivity halafu watakupatia dose ambayo itakutibu pia fanya na hormonal profile pole sanaa
 
Dr Mimi sijawah umwa fungus tangu nizaliwe.. huu mwaka ndio nimeumwa mara ya kwanza nikahisi labda kwasababu ya condom nikaacha ila sasa ndio kuungua na uchungu ndio vimenianza
Usijiweke kwenye denial mode sana, kwa wanawake maumbile yao fungus ni kawaida tu na pia sio Kila fungus ni wabaya,mfano maziwa ya mtihdi ili yawe mtindi yanahitaji fungus!!
 
Back
Top Bottom