Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Pole sana
Kukutana na uchafu kama hivi,wewe dawa aliyokesha mwezi maabara mzungu kuitengeneza mpaka ikaitwa dawa inadunda kutibu halafu wewe na ulimi wako soft unatia kinywa pale unadhani kitatokea nini?Hivi huwa wanao zamia wanapata madhara gani
Wenyewe ukiwauliza watakwambia “ni mtu wangu namwamini” huku anayeaminiwa anao wanne ukiweka na huyo anayemwamini wanakuwa watano.Yaani zama hizi watu wanapigana miti kavu kavu hamna kutumia condoms...UTI, Fungus, Gono, Kaswende kama kawaida
Kam ni kazi atakwepaje mkuu???Pole Sana kwani lazima ufanye sex
Wazee wa backbencher na majibu yenu ya hovyo..!! 😹😹Mwambie mwanaume wako aache kula pilipili 😁😁
Njoo utoe ushauri huku Ma MshuzaHuu mwaka fungus zimenishambulia mara2 mpk nikahisi labda nina HIV nikaenda kupima niko fresh
Nilikuwa nawashwa sana nimetumia Dawa inaitwa Gynex pessary unaingiza vidonge huko chini siku 7 tu niko fresh now… sina hizo dalili tena
Kinachoniumiza saivi kila nikimwagiwa shahawa nasikia uchungu hali ya kuungua kama dakika kadhaa hivi au mpk ninawe ila nikitumia kinga sisikii hayo maumivu,, Hii hali imeanza miezi 4 sasa
Na kingine kila tunavyoanza napata maumivu sana kama vile ndio natolewa bikira yaani uume unapita kwa mbinde sana hata niloane vipi.. nakuwa Kama nakandamizwa.. Hii hali ni endelevu tangu nianze sex
Hiyo hali inanifanya mpk niogope kurudia round tena maana mwenzangu anapotaka tena nawaza kuanza upya kuingiza maana njia inafunga tunaanza kuvutana na maumivu mpk hisia zinakata
Japo ikishaingia tu maumivu sisikii ila mwanzoni nasikia uchungu
Nataka nijaribu tiba lishe hawa madaktari nasikia Dawa zao ni nzuri na uhakika ila sijui niende wapi maana ni wengi kila mtu anavutia kwake
===========
Maoni ya mdau
Tulia we mzee KikalaKadogo2 ni ana survive maana ye daily ni kupambana na majanga
Haya hili la kutiana Sasa na ndio kwanza yuko 20's
Chemsha kam chai pgaa asubuh na ucku ,Karafuu natumiaje
ebanaeeew km ulikuwepo!Na utakuta kuna mwamba anaizamia chumvini
Ukinenepa maradhi ndo hayawe kukunyemelea? Skia kua mnene ndo sio sawa kua mwembamba pia. Chamsingi kua fit na kua na afya njema!Sasa nikikonda na maradhi yataninyemelea kila kitu kiwe kwa wastani…
Nimeambiwa sitakiwi kuwa chini ya kg52 mkuu nikianza diet nitafika 40Ukinenepa maradhi ndo hayawe kukunyemelea? Skia kua mnene ndo sio sawa kua mwembamba pia. Chamsingi kua fit na kua na afya njema!
Punje ngapi maana vinawekwa kwenye pakit za 100Chemsha kam chai pgaa asubuh na ucku ,
Ucweke sukar ,
Bila mchezo unaweza kuwa chizi binti, so sex ni basic need. Labda tumwombe akitulize hadi apone.Kwani sex ni lazima kiasi hiko mpaka mtu ujilazimishe na uache kujitibia kwanza!?
Pka kama chai iwe kali itafaa zaid ,Punje ngapi maana vinawekwa kwenye pakit za 100
Sawa ngoja nikanunue za jumlaMkuu
Pka kama chai iwe kali itafaa zaid ,
Ukiweza pia weka kiasi cha kiganja chako kimoja na robo kwenye chupa ya maji lita 1½ (maji safi hali joto ya kawaida) loweka kwa 24/48hrs uwe unapga nayo sambamba na kuonyesha mzgo ndan ya wiki mambo laivu ,utamu utapata laivuu
SawaPole sana
Nenda kwa dr akapime shingo ya uzazi
Jamaa yako ni mnyakyusa ?Maana sisi tuna mizigo ya haja tukiingiza lzm uumie
Ucsahau kunpa mrejesho,Sawa ngoja nikanunue za jumla
Unakitambi? Ukiruka nyama zako zinanesanesa? Na mm sizungumzii diet nazungumzia kula vyakula HALISI, kula proteins kula healthy fats, huwez pungua unavosema Bali utamaintain uzito sahihi unaotakiwa kua nao!Nimeambiwa sitakiwi kuwa chini ya kg52 mkuu nikianza diet nitafika 40