Hakuna raha tena ya sex kwa sababu ya fungus

Hakuna raha tena ya sex kwa sababu ya fungus

Usijiweke kwenye denial mode sana, kwa wanawake maumbile yao fungus ni kawaida tu na pia sio Kila fungus ni wabaya,mfano maziwa ya mtihdi ili yawe mtindi yanahitaji fungus!!
Vipi sasa kuhusu hayo maumivu nayopata baada ya kumwagikiwa shahawa ama wakati wa penetration
 
Ok sawa..
Ni kwamba Kwa Maelezo yake Inaonekana Kuna Mazingira yasiyo Rafiki kwa Bacteria Wasio na Madhara (Normal flora) Kuishi Ambayo yanasababisha kuwepo kwa Fungus na Kuharibu PH Ukeni na ndo maana anapata Maumivu..

Sasa Ili kutibu tatizo Sio kutumia Viua Bacteria/Viua sumu (Antibiotic) maana Utazidi Kuondoa ila Ecology na Utakuwa u a wa Wash hata Bacteria ambao hawana madhara..

Kwa Mfano kwa Wanawake Matumizi ya Antibiotic, Viua sumu au Kuosha Sehemu za Siri mara kwa Mara na Kwa Kutumia Medicated au Sabani au Hata marashi au Perfumes Huchangia Kuua Normal flora yaani Bacteria wasio na Madhara Kwenye Sehemu husika..

Na Bacteria wakipungua Au wakiondoka Basi Fungus Aina ya Candida albicans huanza Kutawala Hilo koloni na Mwisho wa Siku lazima Apate Fungus isiyoisha..

Sasa Njia salama Sio kuua tena Bacteria waliobaki kwa Kunywa mi Antibiotic , Ila Suluhisho ni Kuintroduce Lactobacillus Ambao Ni normal Flora Kuchukua Koloni lao na Kuondoa Fungus as Well kurudisha Ph..

Kuintriduce Bacteria ili.kubalance Ecosystem ya Kwenye Vagina Ndo Huitwa Probiotic kama Ulikuwa unalizia Kuhusu Hilo..

ASante

Mstaafu wa Saadani na Pangani umetoa elimu kubwa sana hapo kwa wadda na hata inaweza kua msaada kwa wanaume kwani mwanamke akiadhirika huko down town mdhara ni kwa wote.

I wish uelezee zaidi tiba ya probiotics na jinsitu anaweza kufanya ama kuipata,maana naona ndio suluhu ya mambo mengi!!
 
Nenda hospital wakuchukue high vaginal swab kwaajili ya culture and sensitivity halafu watakupatia dose ambayo itakutibu pia fanya na hormonal profile pole sanaa
Nimeshafanya hayo madawa nayopata hayanisaidii
 
Ok sawa..
Ni kwamba Kwa Maelezo yake Inaonekana Kuna Mazingira yasiyo Rafiki kwa Bacteria Wasio na Madhara (Normal flora) Kuishi Ambayo yanasababisha kuwepo kwa Fungus na Kuharibu PH Ukeni na ndo maana anapata Maumivu..

Sasa Ili kutibu tatizo Sio kutumia Viua Bacteria/Viua sumu (Antibiotic) maana Utazidi Kuondoa ila Ecology na Utakuwa u a wa Wash hata Bacteria ambao hawana madhara..

Kwa Mfano kwa Wanawake Matumizi ya Antibiotic, Viua sumu au Kuosha Sehemu za Siri mara kwa Mara na Kwa Kutumia Medicated au Sabani au Hata marashi au Perfumes Huchangia Kuua Normal flora yaani Bacteria wasio na Madhara Kwenye Sehemu husika..

Na Bacteria wakipungua Au wakiondoka Basi Fungus Aina ya Candida albicans huanza Kutawala Hilo koloni na Mwisho wa Siku lazima Apate Fungus isiyoisha..

Sasa Njia salama Sio kuua tena Bacteria waliobaki kwa Kunywa mi Antibiotic , Ila Suluhisho ni Kuintroduce Lactobacillus Ambao Ni normal Flora Kuchukua Koloni lao na Kuondoa Fungus as Well kurudisha Ph..

Kuintriduce Bacteria ili.kubalance Ecosystem ya Kwenye Vagina Ndo Huitwa Probiotic kama Ulikuwa unalizia Kuhusu Hilo..

ASante
Eti kadogo2 umeelewa?
 
Tumia KY wakati unahisi maumivu kokote inapita ni ww tu utaamua utoe wapi, pia tumia dawa nzuri za fungus zipo, acha kuwa mchafu kichwani ( akilini) na uchafu wa mwili kwani fungus hazita kuacha, ukiwa Dar kuna joto acha kuvaa manguo mengi kufunika uchi, vaa bukta au nguo nyepesi sana kama dela, ma jeans mazito, tight na chupi nzito za cotton acha haraka
Hizo ky hazina madhara
 
Huu mwaka fungus zimenishambulia mara2 mpk nikahisi labda nina HIV nikaenda kupima niko fresh

Nilikuwa nawashwa sana nimetumia Dawa inaitwa Gynex pessary unaingiza vidonge huko chini siku 7 tu niko fresh now… sina hizo dalili tena

Kinachoniumiza saivi kila nikimwagiwa shahawa nasikia uchungu hali ya kuungua kama dakika kadhaa hivi au mpk ninawe ila nikitumia kinga sisikii hayo maumivu,, Hii hali imeanza miezi 4 sasa

Na kingine kila tunavyoanza napata maumivu sana kama vile ndio natolewa bikira yaani uume unapita kwa mbinde sana hata niloane vipi.. nakuwa Kama nakandamizwa.. Hii hali ni endelevu tangu nianze sex

Hiyo hali inanifanya mpk niogope kurudia round tena maana mwenzangu anapotaka tena nawaza kuanza upya kuingiza maana njia inafunga tunaanza kuvutana na maumivu mpk hisia zinakata
Japo ikishaingia tu maumivu sisikii ila mwanzoni nasikia uchungu

Nataka nijaribu tiba lishe hawa madaktari nasikia Dawa zao ni nzuri na uhakika ila sijui niende wapi maana ni wengi kila mtu anavutia kwake

===========
Maoni ya mdau
Zaylisa wa JF
 
Sasa hapo mwamba anakukojolea so ndio unamuambika naye anakuambukiza upya inakua mzunguko, tulia upone kwanza.
Sasa mkuu nitatumiaje Dawa huku nafanya sex
Nilijitibia mpk nikamaliza dozi
 
Mstaafu wa Saadani na Pangani umetoa elimu kubwa sana hapo kwa wadda na hata inaweza kua msaada kwa wanaume kwani mwanamke akiadhirika huko down town mdhara ni kwa wote.

I wish uelezee zaidi tiba ya probiotics na jinsitu anaweza kufanya ama kuipata,maana naona ndio suluhu ya mambo mengi!!
Ooh Proffesor wa Kipumbwi Mzee wa Jodari na Mijisehewa😀😀

Probiotics Mara Nyingi zinauzwa kwenye Mapharmacy makubwa Ila Ni mpaka Uandikiwe na Gynacologists maana Ni nzuri ila Ni hatari kwa wale ambao Kinga yao Haiko Vizuri maana Inaweza kusababisha Bacteremia..

Japo Kuna vyakula Kabisa Ambavyo vinaweza Kutumika Mbadala wa Hizo dawa Watu wa Nutrition wanaweza Kusaidia kama Megalodon ni mtalaam sana wa Maambo hayo
 
Back
Top Bottom