Hakuna raha tena ya sex kwa sababu ya fungus

Hakuna raha tena ya sex kwa sababu ya fungus

Unakitambi? Ukiruka nyama zako zinanesanesa? Na mm sizungumzii diet nazungumzia kula vyakula HALISI, kula proteins kula healthy fats, huwez pungua unavosema Bali utamaintain uzito sahihi unaotakiwa kua nao!
Sina manyama ya kunesańesa kitambi cha mchongo kipo mkuu

Ila mimi sinywagi chai mkuu.. labda ninywe juice
Haya nielekeze mlo wa protein
 
Asante.. niliacha sex nikajitibia fungus mwezi Mzima ila bado hali Ndio hiyo
Kwaiyo saivi natafuta tiba ya uhakika
Kwa kweli, endelea kutafuta tiba tyuuh.
Ukipona ndo urudi kufaidi sex.
 
Sababu ya matunizi ya kinyume na maumbile.
Ukigusa nyuma ukaleta mbele tayari umeleta infections.
Nyuma huwa kuna vijidudu Muumbaji kaviweka kulinda , lakini ukivitoa nyuma kupeleka mbele inasabasha infections
 
Wanawake sababu ya tamaa ya pesa siku hizi ukipata vijihela unaweza kuwala vyovyote vile .

Unaweza kumgeuza utakavyo.

Lakini athari zake ndio kama hizo , wengi wamejaa U. T. I sugu siku hizi sababu ya michezo michafu
 
Kuna baadhi ya wanaume mbegu zao Zina asidi hii inatokana na kula malimao kwa wingi, pilipili, pombe Kali ie konyagi visungura, energy drinks etc. kabla ya kutumia madawa kibao jaribu kufanya sex na mtu mwingine ili ujue tatizo lipo kwako ama lah. Then ndo uchukue hatua
 
Back
Top Bottom