Sina manyama ya kunesaลesa kitambi cha mchongo kipo mkuuUnakitambi? Ukiruka nyama zako zinanesanesa? Na mm sizungumzii diet nazungumzia kula vyakula HALISI, kula proteins kula healthy fats, huwez pungua unavosema Bali utamaintain uzito sahihi unaotakiwa kua nao!
Okay โUcsahau kunpa mrejesho,
Nichek pmSina manyama ya kunesaลesa kitambi cha mchongo kipo mkuu
Ila mimi sinywagi chai mkuu.. labda ninywe juice
Haya nielekeze mlo wa protein
Kwa kweli, endelea kutafuta tiba tyuuh.Asante.. niliacha sex nikajitibia fungus mwezi Mzima ila bado hali Ndio hiyo
Kwaiyo saivi natafuta tiba ya uhakika
Ndo nini?Kusema sijaelewa ulichoandika dr au l..๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ
SawaKwa kweli, endelea kutafuta tiba tyuuh.
Ukipona ndo urudi kufaidi sex.
mbona kistaarabu sana, kwema?Duuh poleee sana Dear, ni vema uache kufanya sex, then ufanye taratibu za matibabu,
Nakuombea upone harakaa.
๐ฏ๐โ๏ธWewe kila siku kulalamika.
Nyuzi zako zote ni za masikitiko kila kukicha.
You need mental rehabilitation therapy.
Ila MM jamanii, sasa mie c nampa ushauri mgonjwa, nimpe kwa ukali c ataogopa?mbona kistaarabu sana, kwema?
๐Sawa