Hiyo ni moja ya sababu ndogo ya kuua kiwanda cha Scania, sababu kubwa utake usitake nenda kafanye uchunguzi kwa nini waziri wa viwanda Mahinda aliuwawa kwa risasi, utagundua tulikwama spare parts na wataalamu wa kurekebisha mashine, sio kwa Scania tu, ila kwa viwanda vingi hasa vya ngo vilivyoitwa something text. Mahinda aligundua mashine zilizonunuliwa ni za zamani na mbovu, spare parts zake hazitengenezwi tena. Kwa ujumla tulitegemea wazungu kurekebisha na kuendesha viwanda vyetu.
"Tumechoka taifa hili, unalima pamba unakwenda unasafirisha malighafi..halafu wakishatengeneza nguo, wanazivaa wanakuletea mitumba wakati pamba yako, mnalitaka hilo vijana?..sisi tunataka tukilima pamba yetu, tuna-process, zile nguo tunawapelekea ikiwezekana tunazivaa kwanza"..JPM