Hakuna Rais atakayetatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama China

Mkuu Scandnavia zilikuwa na bodi za Marco Polo kutoka Brasil, siyo za kutengenezwa hapa nchini.
 
Unafikiri madaktari na walimu wameajiriwa na serikali? Unafikiri serikali ina nafasi za kazi kwa wasomi wote? Chunguza.

Sijui kiswahili ni kigumu kwako?

Mdau ameuliza:Mbona JK aliweza kuajiri walimu wote na madaktari?

Wewe ulichojibu sasa:Unafikiri madaktari na walimu wameajiriwa na serikali?
 
'Tumechoka taifa hili, unalima pamba unakwenda unasafirisha malighafi..halafu wakishatengeneza nguo, wanazivaa wanakuletea mitumba wakati pamba yako, mnalitaka hilo vijana?..sisi tunataka tukilima pamba yetu, tuna-process, zile nguo tunawapelekea ikiwezekana tunazivaa kwanza"..JPM'

Hizo ni story zake jamaa tangu 2015 mpk leo,story hizo hizo tu hakuna jipya.
 

Kweli kabisa, lazima tujidai na pamba zetu original!

 
Sijui kiswahili ni kigumu kwako?

Mdau ameuliza:Mbona JK aliweza kuajiri walimu wote na madaktari?

Wewe ulichojibu sasa:Unafikiri madaktari na walimu wameajiriwa na serikali?
Nilimaanisha madaktari na walimu wote hawaja ajiriwa na serikali, wapo wa shule na hospitali za private.
 
I say, wewe una conspiracy theory za ajabu sana! Tatizo la kuchukua hadithi za vijiweni mitaani na kuzileta JF!
Tatizo wewe hujui kuhusu haya, labda ulikuwa mtoto hata hujazaliwa, kina Mahinda ni marafiki zangu wa karibu, mzee wangu alikuwa serikalini, naibu katibu mkuu wa wizara ya ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…