Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
 
Vijana mliolelewa enzi za uchawa nidhamu ni shida sana kama vile kwenu hamna wazee ni mmoja wa mliopewa jukumu la kujibu hoja zake?
 
Inasaidia nini questioning about his credentials now?

Judge Warioba aliandaa rasimu ya katiba mkimuita Judge.

Leo anaulixa credibility ya matendo yasioeleweka ndani ya kuendesha mambo ya watanzania, wajinga wanasema sio Judge.

Najua wengine watasema sio raia😂😂😂😍😍
 
Duh,umeandika utumbo!
 
Daaaa unatumia nguvu kubwa kweli katika kuzima ukweli, mkiambiwa ukweli mshakurupuka kutoka mapangoni.
 
Kwaiyo kuitwa judge inakuuma sana unatamani uitwe ww
 

Haitabadilisha ukweli aliousema majuzi, kwa nini unahoji leo kama ulijua haya uvccm? Haya tushakuelewa na kukukubalia unavyotaka "sio jaji" Haya jibu hoja zake basi tu yaishe kawaite na uvccm wengine na madesa yao mshirikiane, au police haijawa jumuiya kama ya wazazi?
 
Kweli kabisa, huyu siyo kajipachika tuu u jaji. Halafu siyo raia huyu.
 
Kuwa UVCCM haimaanishi kwamba usiwe na akili.
"Warioba served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999".
Unajaribu kuifuta hiyo record?? Bwege wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…