Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubabake mtabisha mpaka visivyobishika. Ila dawa imekuingieni maungoni.Katika historia ya nchi hii, ha kuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Upimwe akili wewe Siyo mzimaKatika historia ya nchi hii, ha kuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Vijana kama hawa ni hasara Sana wanazidiwa akili mpaka na wazee wenye miaka 90+Vijana mliolelewa enzi za uchawa nidhamu ni shida sana kama vile kwenu hamna wazee ni mmoja wa mliopewa jukumu la kujibu hoja zake?
Sababu umekariri na uwezo wako upo limited, haya na tufanye hivyo. Ila CV yake ni beyond huo ujaji unaouhoji.Huyo sio Jaji, ujaji mpaka ajielezee saaaana kama unatafuta chawa kwenye manyoya ya kondoo
Wewe jamaa una wadudu kichwani?Huyo sio Jaji, ujaji mpaka ajielezee saaaana kama unatafuta chawa kwenye manyoya ya kondoo
Pengine alikuwa bado yupo kwenye map*mbuAmeanza kuitwa jaji wakati wewe bado unalamba makamasi chekechea.
Jibuni hoja za Warioba acheni vihoja.
Jamaa ana minyoo kwenye ubongo sio uongo kabisa huyu si ndio chiembe ?Sababu umekariri na uwezo wako upo limited, haya na tufanye hivyo. Ila CV yake ni beynd huwa ujaji unaouhoji.
Angalia vigezo vinavyotumika kumchagua Jaji wa hiyo Mahakama, ringanisha na vigezo anavyotumia rais wenu nchini mwenu kuteua majaji
Kunguni hawa wa sa100 hawatoweza kumjibu Jaji Warioba hata wapewe miaka elfu mojaKombora moja la Jaji Warioba linawatoa chawa na kunguni mafichoni. Jibuni hoja zake.
Alisema kura fake zimeandaliwa na "wasimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.Kosa l warioba ni kusema wapinzani hawana maandalizi
Katika historia ya nchi hii, ha kuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Uko darasa la ngapi kwa sasa?Katika historia ya nchi hii, ha kuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Bado yupo Vidudu sasa hivi hapo kamasi linamtoka mpaka mdomoni na hana lesoUko darasa la ngapi kwa sasa?
Utakapofika Form One, utafundishwa kwenye somo la Uraia jinsi msomi Jaji Warioba alivyoupata Ujaji, Uanasheria Mkuu wa Serikali, Ujaji Mkuu na hatimaye Ujaji katika mahakama ya Kimatiafa!
Walimu wako wa Uraia watakufungua macho upate kujua kuwa Warioba ni miongoni mwa majaji waliojipatia heshima ndani na nje ya nchi kutokana na uweledi wake katika Sheria.
Jitahidi ufike Form One utafundishwa hayo yote!
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (1985 - 1990)Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Bibi kizee naona umekuja kumchukua Mbuzi wako chiembeSawa JAJI CHIEMBE
Ili uwe jaji lazima uteuliwe na raisi wa Tanzania tu, au usimamie kesi za Tanzania tu? Huna elimu wewe.Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Asante sanaKubabake mtabisha mpaka visivyobishika. Ila dawa imekuingieni maungoni.
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AGCTZ) | Wanasheria Wakuu Waliopita
The Office of the Attorney General | Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikaliwww.oag.go.tz
Wewe ng'ombe, mwanasheria mkuu sio Jaji, usitumie kichwa kubebea kamasiMwanasheria Mkuu wa Serikali (1985 - 1990)
Alihudumu kama Mwanasheria Mkuu wa Tanzania ambapo alihusika katika masuala ya sheria na ushauri wa kisheria kwa Serikali.
HAPA TU PANAJIBU UPUPU WAKO WOTE ULIOANDIKA