chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.