Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Warioba kachagua cheo kizuri cha Jaji wanamuonea wivu. Wengine wanakimbilia udokta yeye akaona isiwe taabu nwaachia udokta
 
Ameanza kuitwa jaji wakati wewe bado unalamba makamasi chekechea.

Jibuni hoja za Warioba acheni vihoja.
Umempa nafasi kubwa sana kwenye kuramba kamasi.

Huyo itakuwa hata wazazi waliomleta duniani walikuwa hawajajuana!!.
 
huo ni ujaji tu kama wa BSS,
Huna ujuacho. Kwani hao Majaji wanaoteuliwa na rais wana kipi ambacho Jaji Warioba hana? Unajua maana ya Judge?
Kwa nchini Tanzania unavijua vigezo vya mtu kuteuliwa kuwa Jaji? HIvi unaja kwamba kwa hivi sasa Majaji wanatakiwa kuwepo hadi kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi?
 
Uenda wazimu umekuwa mwingi sana.
Huyu mzee anafanya kazi nzuri.
 
Before today nilikuwa naiheshimu ID yako... Nadhani nilikuwa wrong sana.
Gentleman,
binafsi namuheshimu anae niheshimu asieniheshimu simjali,

hata hivyo kwenye maendeleo niko pamoja na wananchi wote licha ya tofauti za mirengo.

so,
huna haja ya kubabaika na mimi kwasasabuab ya kusema ukweli 🐒
 
kwahiyo hakuwahi kuhudumu kama judge wa mahakama kuu, huo ndio ukweli,
Mashudu wewe kichwabox mmekaririshwa ujaji mpaka uwe mahakama kuu tu au sio? Yeye alikua jaji wa kimataifa sio wa kitaifa tu huelewi? Kumbuka kabla ya hapo alishashika nafasi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali sasa anashindwa vipi kua jaji?
 
Kwanini kuna wanaojiita madokta na hamsemi. Acheni wivu na Jaji warioba😃😂
unajua bunda, wajita neno jaji maana yake ni mjomba, ukitaka kumwita mjomba unasema yego jaji warioba, sasa tutumie jina kamili yego jaji warioba
 
polisi wanaachaje kuyadhibiti manyumbu ya Chadema ambayo toka nyumbani anaenda kupiga kura akiwa na fikra za kushindwa uchaguzi?

hakunaga upendeleo kwenye uchaguzi, ukileta fujo unachezea virungu vizuri tu bila upendeleo 🐒
 
Acha kupotosha ,Aliteuliwa na Rais Mkapa.
 
Ndio maana nyie uvccm Huwa nawaita wapumbavu Kwa ukosefu wenu wa Elimu ona sasa mlivyo wapumbavu hamjui anaitwa Jaji kutokana na ujaji upi.
Kwa taarifa yenu ujaji wa mzee warioba hata hao majaji wako unaowataja hawawezi kufika unajua ITLOS wewe empty brain?
 
polisi wanaachaje kuyadhibiti manyumbu ya Chadema ambayo toka nyumbani anaenda kupiga kura akiwa na fikra za kushindwa uchaguzi?

hakunaga upendeleo kwenye uchaguzi, ukileta fujo unachezea virungu vizuri tu bila upendeleo 🐒
Pole Kwa mme wako
 
Huo ni ujaji kama wa Master Jay pale Bongo Star Search
 
Una Miaka Mingapi??
 
Hii mbona ni sawa tu na kusema hakuna mtu yeyote aliyempigia kura Rais Samia Suluhu kuwa rais wa nchi hii.🤠🤠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…