Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Kwanini kuna wanaojiita madokta na hamsemi. Acheni wivu na Jaji warioba😃😂si mpaka ateuliwe, tusipolitizama hili kuna siku gwajima au musukuma atajiita judge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini kuna wanaojiita madokta na hamsemi. Acheni wivu na Jaji warioba😃😂si mpaka ateuliwe, tusipolitizama hili kuna siku gwajima au musukuma atajiita judge
Mi umeninukuu kimakosaHebu na wewe ana
Hebu na wewe anza kujiita jaji kama ni rahisi, labda jaji wa BSS
Una matatizo ya akili mkuuNdio maana tunapinga ukanjanja, tena unapofanywa na mzee
Umempa nafasi kubwa sana kwenye kuramba kamasi.Ameanza kuitwa jaji wakati wewe bado unalamba makamasi chekechea.
Jibuni hoja za Warioba acheni vihoja.
Huna ujuacho. Kwani hao Majaji wanaoteuliwa na rais wana kipi ambacho Jaji Warioba hana? Unajua maana ya Judge?huo ni ujaji tu kama wa BSS,
Uenda wazimu umekuwa mwingi sana.Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Gentleman,Before today nilikuwa naiheshimu ID yako... Nadhani nilikuwa wrong sana.
Mashudu wewe kichwabox mmekaririshwa ujaji mpaka uwe mahakama kuu tu au sio? Yeye alikua jaji wa kimataifa sio wa kitaifa tu huelewi? Kumbuka kabla ya hapo alishashika nafasi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali sasa anashindwa vipi kua jaji?kwahiyo hakuwahi kuhudumu kama judge wa mahakama kuu, huo ndio ukweli,
unajua bunda, wajita neno jaji maana yake ni mjomba, ukitaka kumwita mjomba unasema yego jaji warioba, sasa tutumie jina kamili yego jaji wariobaKwanini kuna wanaojiita madokta na hamsemi. Acheni wivu na Jaji warioba😃😂
polisi wanaachaje kuyadhibiti manyumbu ya Chadema ambayo toka nyumbani anaenda kupiga kura akiwa na fikra za kushindwa uchaguzi?Hoja ya police kutumia kisiasa, hili hulijui au ni mgeni hapa Tanganyika
Police kupendelea CCM hilo hulijui?
Jibu hoja
Uchaguzi kunajisia, dhuluma katika uchaguzi haya huyajui?
Watu kuuliwa na vyombo vya usalama hili nalo hulijui
Kama unakataa
Apia Kwa Mungu sema akuuwe siku ya leo
Acha kupotosha ,Aliteuliwa na Rais Mkapa.Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Maswali haya umegoogle pia au umetumia makamasi kwenye ubongo wako kuandika?Na hoja kuhusu udhaifu mkubwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uta google au hiyo unamwachia mchengerwa?
Ndio maana nyie uvccm Huwa nawaita wapumbavu Kwa ukosefu wenu wa Elimu ona sasa mlivyo wapumbavu hamjui anaitwa Jaji kutokana na ujaji upi.Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Pole Kwa mme wakopolisi wanaachaje kuyadhibiti manyumbu ya Chadema ambayo toka nyumbani anaenda kupiga kura akiwa na fikra za kushindwa uchaguzi?
hakunaga upendeleo kwenye uchaguzi, ukileta fujo unachezea virungu vizuri tu bila upendeleo 🐒
Huo ni ujaji kama wa Master Jay pale Bongo Star SearchNdio maana nyie uvccm Huwa nawaita wapumbavu Kwa ukosefu wenu wa Elimu ona sasa mlivyo wapumbavu hamjui anaitwa Jaji kutokana na ujaji upi.
Kwa taarifa yenu ujaji wa mzee warioba hata hao majaji wako unaowataja hawawezi kufika unajua ITLOS wewe empty brain?
Acha makasiriko na lugha chafu, jiteteeni kwa mzee Joseph.Maswali haya umegoogle pia au umetumia makamasi kwenye ubongo wako kuandika
Una Miaka Mingapi??Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwanini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Hii mbona ni sawa tu na kusema hakuna mtu yeyote aliyempigia kura Rais Samia Suluhu kuwa rais wa nchi hii.🤠🤠Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.