Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Kubabake mtabisha mpaka visivyobishika. Ila dawa imekuingieni maungoni.

 
Upimwe akili wewe Siyo mzima
 
Huyo sio Jaji, ujaji mpaka ajielezee saaaana kama unatafuta chawa kwenye manyoya ya kondoo
Sababu umekariri na uwezo wako upo limited, haya na tufanye hivyo. Ila CV yake ni beyond huo ujaji unaouhoji.

Ameshakuwa Mwanashuria Mkuu wa Serikali, Ameshakuwa Waziri wa Sheria na Katiba, ameshakuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa rais, ameshakuwa Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa mipaka ya bahari.
Ameshakuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rushwa. Ameshakuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya.

Angalia vigezo vinavyotumika kumchagua Jaji wa hiyo Mahakama, ringanisha na vigezo anavyotumia rais wenu nchini mwenu kuteua majaji
 
Sababu umekariri na uwezo wako upo limited, haya na tufanye hivyo. Ila CV yake ni beynd huwa ujaji unaouhoji.
Angalia vigezo vinavyotumika kumchagua Jaji wa hiyo Mahakama, ringanisha na vigezo anavyotumia rais wenu nchini mwenu kuteua majaji
Jamaa ana minyoo kwenye ubongo sio uongo kabisa huyu si ndio chiembe ?
 
Uko darasa la ngapi kwa sasa?

Utakapofika Form One, utafundishwa kwenye somo la Uraia jinsi msomi Jaji Warioba alivyoupata Ujaji, Uanasheria Mkuu wa Serikali, Ujaji Mkuu na hatimaye Ujaji katika mahakama ya Kimatiafa!

Walimu wako wa Uraia watakufungua macho upate kujua kuwa Warioba ni miongoni mwa majaji waliojipatia heshima ndani na nje ya nchi kutokana na uweledi wake katika Sheria.

Jitahidi ufike Form One utafundishwa hayo yote!
 
Bado yupo Vidudu sasa hivi hapo kamasi linamtoka mpaka mdomoni na hana leso
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (1985 - 1990)
Alihudumu kama Mwanasheria Mkuu wa Tanzania ambapo alihusika katika masuala ya sheria na ushauri wa kisheria kwa Serikali.
HAPA TU PANAJIBU UPUPU WAKO WOTE ULIOANDIKA
 
Ili uwe jaji lazima uteuliwe na raisi wa Tanzania tu, au usimamie kesi za Tanzania tu? Huna elimu wewe.
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (1985 - 1990)
Alihudumu kama Mwanasheria Mkuu wa Tanzania ambapo alihusika katika masuala ya sheria na ushauri wa kisheria kwa Serikali.
HAPA TU PANAJIBU UPUPU WAKO WOTE ULIOANDIKA
Wewe ng'ombe, mwanasheria mkuu sio Jaji, usitumie kichwa kubebea kamasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…