johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Una elimu gani?Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Wewe itakuwa mfuga kuku wa mayai sio bureWewe ng'ombe, mwanasheria mkuu sio Jaji, usitumie kichwa kubebea kamasi
Wewe itakuwa mfuga kuku wa mayai sio bureWewe ng'ombe, mwanasheria mkuu sio Jaji, usitumie kichwa kubebea kamasi
Hao uliowataja ndio walimteua Lundenga kuwa Jaji?Aliteuliwa na Nyerere? Mwinyi? Mkapa? Kikwete? JPM? Samia?
Elimu kwani unataka kuniajiri?
Kwa hiyo haya ndio majibu ya hoja zake?..Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
ujaji autoe wapi yule Mzee, hiyo ilikua ni a.k.a yake tu mtaani,Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Ni a. k. a tu kama mtu ajiite "Rais wa Sinza"ujaji autoe wapi yule Mzee, hiyo ilikua ni a.k.a yake tu mtaani,
ni mjanja mnjanja tu,
ndio maana eti katika uzee ule, nae anajifanya ni Gen z, dah 🐒
kuzeeka kwingine ni vioja sana.
baada ya kushindwa vibaya uchaguzi mkuu kule bunda miaka ile, huyu Mzee alipata mawenge sana na akapoteza ramani kabisa, ndipo sasa hayati Baba wa Taifa J.K.Nyerere akamuokota jalalani baada ya kudhalilika sana mtaani na akamrudisha relini kwabkumteua serikalini...
sasa sijui mawenge ameyatolea wapi saivi hadi awe na gubu kiasi hiki dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania wote DR Samia Suluhu Hassan?🐒
Yes,Ni a. k. a tu kama mtu ajiite "Rais wa Sinza"
Amewahi kuwa jaji wa mahakama ya Afrika Mashariki.Bado hujasema, na hujajibu mada, kwenye hizo taasisi unaenda na hadhi yako, yeye hakwenda na ujaji
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Huyo sio Jaji, anajipachika pachika tu titles ili aonekane wa maanaAmewahi kuwa jaji wa mahakama ya Afrika Mashariki.
Huo ujaji alijipa mwenyewe siyo? Au hata wewe tu kwakuwa ni mwanasheria unaweza kujipa cheo cha ujaji?
Jaji Warioba ametumikia mahakama mbalimbali kwa level ya ujaji halafu wewe unaleta mada ya kikuda mkuu.
Aliwahi kuwa jaji kwenye mahakama ya kimataifa ya sheria za bahari kwa muda wa miaka minne, pia aliwahi kuwa mwanasheria wa jiji la Dar es Salaam.Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Kimsingi wewe huwa huna akili....damn youKatika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Hakuwa daktari, alikuwa civil engineerAliwahi kuwa jaji kwenye mahakama ya kimataifa ya sheria za bahari kwa muda wa miaka minne, pia aliwahi kuwa mwanasheria wa jiji la Dar es Salaam.
Je, mama yako amewahi kuwa daktari wa nini?
Chinembe wewe hukupewa mistari ya kumjibu Warioba.umekurupuka mwisho wote tutaonekana vilaza. Kuna watu wana jukumu la kumtukana wewe umekuja na hiki kioja kila mtu anakudharau anakuona ni miaka ya awamu ya mwisho ya kikwete.Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.