Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Una elimu gani?

Au niulize hivi:

Ulisoma chuo gani?
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Kwa hiyo haya ndio majibu ya hoja zake?..
Wewe ni chawa mwenye IQ ndogo sana...uzuri CCM ni kokoro a.k.a zoazoa...endelea kubwabwaja mama
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
ujaji autoe wapi yule Mzee, hiyo ilikua ni a.k.a yake tu mtaani,

ni mjanja mnjanja tu,
ndio maana eti katika uzee ule, nae anajifanya ni Gen z, dah 🐒

kuzeeka kwingine ni vioja sana.

baada ya kushindwa vibaya uchaguzi mkuu kule bunda miaka ile, huyu Mzee alipata mawenge sana na akapoteza ramani kabisa, ndipo sasa hayati Baba wa Taifa J.K.Nyerere akamuokota jalalani baada ya kudhalilika sana mtaani na akamrudisha relini kwabkumteua serikalini...

sasa sijui mawenge ameyatolea wapi saivi hadi awe na gubu kiasi hiki dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania wote DR Samia Suluhu Hassan?🐒
 
Ni a. k. a tu kama mtu ajiite "Rais wa Sinza"
 
Yani mmeamua kufikia na huko yani kujibu tu hoja imekuwa ngumu kweli kuna nchi wananchi wake wengi sana hamna kitu, Yani kiukweli kabisa yanayoendelea mnayafurahia na kuwa na amani nayo? Mnasikitisha sana hapo unakuta na umesoma hizo mnaita Bachelor daah..
 
Bado hujasema, na hujajibu mada, kwenye hizo taasisi unaenda na hadhi yako, yeye hakwenda na ujaji
Amewahi kuwa jaji wa mahakama ya Afrika Mashariki.

Huo ujaji alijipa mwenyewe siyo? Au hata wewe tu kwakuwa ni mwanasheria unaweza kujipa cheo cha ujaji?

Jaji Warioba ametumikia mahakama mbalimbali kwa level ya ujaji halafu wewe unaleta mada ya kikuda mkuu.
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.

Joseph Sinde Warioba (amezaliwa Bunda, Mkoa wa Mara, Septemba 3, 1940) ni mwanasiasa wa Tanzania. Aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia mwaka 1985 hadi 1990. Kwa kuongezea, aliwahi kutumika kama Makamu wa Rais wa nchi hiyo. Pia aliwahi kuwa jaji katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, na mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania tangu mwaka 2012.

Alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam, Tanzania mnamo 1966. Kuanzia 1966 hadi 1968, aliwahi kuwa wakili wa serikali jijini Dar es salaam, na kutoka 1968 hadi 1970, kama wakili wa Halmashauri ya Jiji. Mnamo mwaka wa 1970, alihitimu kutoka Chuo cha Hague cha Sheria ya Kimataifa. Kuanzia 1976 hadi 1983, aliwahi kuwa Wakili Mkuu wa Tanzania. Kuanzia 1983 hadi kuchaguliwa kwake kama waziri mkuu, alihudumu kama waziri wa haki.

Kufuatia umiliki wake kama waziri mkuu, aliwahi kuwa jaji wa Hamburg, Korti ya kimataifa ya makao yake makuu ya Ujerumani ya Sheria ya Bahari kutoka 1996 hadi 1999. Zaidi ya hayo, mnamo 1996, Rais Benjamin Mkapa alimteua kama mwenyekiti wa Tume ya Rais Dhidi ya Serikali Rushwa, inajulikana zaidi kama Tume ya Warioba.

Warioba alichaguliwa kuongoza Kundi la Waangalizi wa Jumuiya ya Madola katika uchaguzi wa Aprili 2007 wa Nigeria. Alitoa tathmini chanya ya uchaguzi huo, akiona ni ya maendeleo huku akisema pia kwamba kuna makosa.

Warioba aliteuliwa mnamo Novemba 2016 na Rais wa Tanzania John Magufuli kama Kansela wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine cha Morogoro, Tanzania.
 
Amewahi kuwa jaji wa mahakama ya Afrika Mashariki.

Huo ujaji alijipa mwenyewe siyo? Au hata wewe tu kwakuwa ni mwanasheria unaweza kujipa cheo cha ujaji?

Jaji Warioba ametumikia mahakama mbalimbali kwa level ya ujaji halafu wewe unaleta mada ya kikuda mkuu.
Huyo sio Jaji, anajipachika pachika tu titles ili aonekane wa maana
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Aliwahi kuwa jaji kwenye mahakama ya kimataifa ya sheria za bahari kwa muda wa miaka minne, pia aliwahi kuwa mwanasheria wa jiji la Dar es Salaam.
Je, mama yako amewahi kuwa daktari wa nini?
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Kimsingi wewe huwa huna akili....damn you

Yaani kuwa jaji lazima uteuliwe na rais wako wa mchongo. Huyu aliteuliwa huko dunia ya kwanza kuwa jaji

"....Honorable Judge Warioba was born on September 3, 1940, in Ikizu in Bunda District in Mara Region, and received his Primary Education at Ikizu Primary School in Bunda from 1949 to 1952. From 1953 to 1954 he attended Mwisenge Middle School in Musoma, before joining Bwiru Mwanza Secondary School in 1955 to 1960. He joined Tabora Boys' Secondary School from 1961 to 1962 when he graduated and joined the University of Dar es Salaam where he graduated with a Bachelor of Laws in 1966. In addition, Honorable Judge Warioba studied Law at the Hague University of International Law, The Netherlands in 1970.

Honorable Judge Joseph Sinde Warioba was the Prime Minister and First Vice President of the United Republic of Tanzania from November 5, 1985 to November 9, 1990. He is a Lawyer, Politician and a well-known Judge respected Nationally and Internationally for his great contribution in matters of Law and Good Governance.

Following his tenure as prime minister, he served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999. Furthermore, in 1996, President Benjamin Mkapa appointed him chairman of the Presidential Commission Against Government Corruption, better known as the Warioba Commission.
Warioba was chosen to lead the Commonwealth Observer Group in the April 2007 Nigerian elections. He gave a positive assessment of the elections, deeming them progress while also pointing out irregularities.
Warioba was appointed in November 2016 as the Chancellor of Sokoine University of Agriculture in Morogoro......"
 
Following his tenure as prime minister, he served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999.

Duh! Unafikiri mtu kuwa Jaji mpaka ateuliwe na Rais wa Tanzania?

Pia aliwahi kuwa jaji Katika Mahakama ya Afrika Mashariki.
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Chinembe wewe hukupewa mistari ya kumjibu Warioba.umekurupuka mwisho wote tutaonekana vilaza. Kuna watu wana jukumu la kumtukana wewe umekuja na hiki kioja kila mtu anakudharau anakuona ni miaka ya awamu ya mwisho ya kikwete.
 
Back
Top Bottom