Ebu tueleze, kwann anaitwa jaji ,ujaji kaupataje? Kwamba kajipachika tu kweli!?kwann ukusema miaka yoteWewe umeandika yale yanayokaa ndani ya utumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu tueleze, kwann anaitwa jaji ,ujaji kaupataje? Kwamba kajipachika tu kweli!?kwann ukusema miaka yoteWewe umeandika yale yanayokaa ndani ya utumbo
Bado hujasema, na hujajibu mada, kwenye hizo taasisi unaenda na hadhi yako, yeye hakwenda na ujajiKuwa UVCCM haimaanishi kwamba usiwe na akili.
"Warioba served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999".
Unajaribu kuifuta hiyo record?? Bwege wewe
Bado hujajibu hoja, huko unaenda na hadhi yakoPia aliwahi kuwa jaji katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, na mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania tangu mwaka 2012.
Alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam, Tanzania mnamo 1966. Kuanzia 1966 hadi 1968, aliwahi kuwa wakili wa serikali jijini Dar es salaam, na kutoka 1968 hadi 1970, kama wakili wa Halmashauri ya Jiji. Mnamo mwaka wa 1970, alihitimu kutoka Chuo cha Hague cha Sheria ya Kimataifa. Kuanzia 1976 hadi 1983, aliwahi kuwa Wakili Mkuu wa Tanzania. Kuanzia 1983 hadi kuchaguliwa kwake kama waziri mkuu, alihudumu kama waziri wa haki.
Kufuatia umiliki wake kama waziri mkuu, aliwahi kuwa jaji wa Hamburg, Korti ya kimataifa ya makao yake makuu ya Ujerumani ya Sheria ya Bahari kutoka 1996 hadi 1999. Zaidi ya hayo, mnamo 1996, Rais Benjamin Mkapa alimteua kama mwenyekiti wa Tume ya Rais Dhidi ya Serikali Rushwa, inajulikana zaidi kama Tume ya Warioba.
Warioba alichaguliwa kuongoza Kundi la Waangalizi wa Jumuiya ya Madola katika uchaguzi wa Aprili 2007 wa Nigeria. Alitoa tathmini chanya ya uchaguzi huo, akiona ni ya maendeleo huku akisema pia kwamba kuna makosa.
Warioba aliteuliwa mnamo Novemba 2016 na Rais wa Tanzania John Magufuli kama Kansela wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine cha Morogoro, Tanzania.
Ka chawa 😂😂Katika historia ya nchi hii, ha kuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Mnamo 1985, alikua Waziri Mkuu na, wakati huo huo, Makamu wa Pili wa Rais hadi 1990. Baada ya muda wake kama waziri mkuu, aliteuliwa kuwa jaji katika Mahakama ya Kimataifa ya Sheria ya Bahari yenye makao yake makuu mjini Hamburg. (ITLOS) kwa muda wa miaka mitatu 1996-1999.Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Soma hapa chini wasifu wa Judge Warioba....ujue alipataje ujaji.....hii ipo kwenye VPO website.Katika historia ya nchi hii, ha kuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Huyu Mbuzi wa Bibi kizee kapotea njiaUnamaanisha alikua Jaji wa bongo star search?
Acheni uvivu vijana....information zipo kwenye finger tips zenu....just google, soma utajua!Jibuni maswali yake ya msingi kwanza, ndo tujue kama ni jaji ama sio.
Jibu hilo hapo:Jibuni maswali yake ya msingi kwanza, ndo tujue kama ni jaji ama sio.
Kuna siku mngekuja kuuliza ni rais gani aliyewahi kumteua Ndugulile kuwa Mkurugenzi.Bado hujasema, na hujajibu mada, kwenye hizo taasisi unaenda na hadhi yako, yeye hakwenda na ujaji
Kosa l warioba ni kusema wapinzani hawana maandaliziVijana mliolelewa enzi za uchawa nidhamu ni shida sana kama vile kwenu hamna wazee ni mmoja wa mliopewa jukumu la kujibu hoja zake?