Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Hata jina la.Warioba si la kwake. Amejipachika tu. Na uraia pia si wake.kajipachika tu. Yaani huyu tumvue kila kitu. Tumtukane sana.
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Mbwa mama mumeanza kubweka,pumbaaaaaaaav wewe.
 
Hakuwa daktari, alikuwa civil engineer
Honorary degrees au PhD ni unafiki wa kichawa wa wanasiasa wa kijani kwa mtu wa kuwalindia maslahi yao ya kifisadi.

JS Warioba is a renowned and seasoned lawyer by profession with his broad skills recognized internationally for matters about good governance, critical thinking politics, peacekeeping, etc.

"....From 1976 to 1983, he served as the attorney general of Tanzania, after which he became a member of parliament and was appointed Minister of Justice. In 1985, he became Prime Minister and, at the same time, Second Vice-President until 1990. After his tenure as prime minister, he was appointed as a judge on the Hamburg-based inter-governmental International Tribunal for the Law of the Sea (ITLOS) for three years up to 1999. In 1996, he was appointed by President Benjamin William Mkapa to serve as Chairman of the Presidential Commission against Government Corruption, frequently better known as the Warioba Commission. In November 2016, Judge Warioba was appointed by President John Pombe Joseph Magufuli as Chancellor of Sokoine University of Agriculture in Morogoro.

A widely traveled professional, Judge Warioba attended or else helped organize quite several international and regional consultations and meetings, including the United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization Conference in Paris, France (1966), the Refugee Conference in Addis Ababa, Ethiopia (1967), the Law of Treaties Conference in Vienna, Austria (1968-1969), the Organization of African Unity Council of Ministers in Addis Ababa (1968), the Human Rights Conference in Tehran, Iran (1968), the United Nations General Assembly, intermittently from 1971-1981, the Organization of African Unity Summits, intermittently from 1972-1984, and several Law of the Sea Conferences in years between 1971 and 1982. He was Chairman of the United Nations’ preparatory communications for the Convention on the Law of the Sea (1983-1986).

A highly disciplined public leader and professional, Justice Warioba has often been asked by the Tanzanian government to help lead investigations into perplexing issues in society and to dig deep to find out the truth to offer a candid opinion. He has obliged. It just happens, in the course of some such missions, that once he told the truth, based on scientific investigation, his appointers might sometimes become uneasy with the stark findings and truths, and hesitant about proposed recommendations. On his part, he has never responded in public regarding such encounters; he would quietly remain a ‘faithful servant.’

Judge Warioba served the University of Dar es Salaam as President of the Convocation as well as Vice-Chairman of the University Council for 15 years from 2003-2018. The University and the whole community of the University’s graduates will hardly forget the long-lasting and rewarding association they have had with him. May it be added, in appreciation, that Justice Warioba is one of the few alumni who have recently sent in their contributions towards the ongoing construction of the University of Dar es Salaam Student Centre? The University fully acknowledges his proactive consideration......"
 
Huyo sio Jaji, anajipachika pachika tu titles ili aonekane wa maana
Kuna siku alikuomba umwite Jaji?

Mtu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu anahitaji aonekane wa maana au yeye ni mtu wa muhimu nchini?

Kwa taarifa yako, mzee Warioba hana hizo njaa!

Ni mtu aliyeelimika na kustaarabika aliyechagua kuweka mbele maslahi ya nchi bila ghiliba za uchawa na uchama!
 
ujaji autoe wapi yule Mzee, hiyo ilikua ni a.k.a yake tu mtaani,

ni mjanja mnjanja tu,
ndio maana eti katika uzee ule, nae anajifanya ni Gen z, dah 🐒

kuzeeka kwingine ni vioja sana.

baada ya kushindwa vibaya uchaguzi mkuu kule bunda miaka ile, huyu Mzee alipata mawenge sana na akapoteza ramani kabisa, ndipo sasa hayati Baba wa Taifa J.K.Nyerere akamuokota jalalani baada ya kudhalilika sana mtaani na akamrudisha relini kwabkumteua serikalini...

sasa sijui mawenge ameyatolea wapi saivi hadi awe na gubu kiasi hiki dhidi ya serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania wote DR Samia Suluhu Hassan?🐒
Mjanja mjanja halafu anakuwa mwanasheria mkuu wa serikali? Unawatukana watz wote na waliomteua
 
Inasaidia nini questioning about his credentials now?

Judge Warioba aliandaa rasimu ya katiba mkimuita Judge.

Leo anaulixa credibility ya matendo yasioeleweka ndani ya kuendesha mambo ya watanzania, wajinga wanasema sio Judge.

Najua wengine watasema sio raia😂😂😂😍😍
Huyu bwana namkumbuka alipokuwa waziri mkuu alivyopambana kuhakikisha misikiti haiongezeki kwakisingizio eti inaota kama uyoga.

Tokea hapo kila raisi anapokuwa si mkatoliki hujitokeza akijifanya mzee wa busara
 
Huyu bwana namkumbuka alipokuwa waziri mkuu alivyopambana kuhakikisha misikiti haiongezeki kwakisingizio eti inaota kama uyoga.

Tokea hapo kila raisi anapokuwa si mkatoliki hujitokeza akijifanya mzee wa busara
Siyo kweli. Hili nadhani umelileta ili upate wahusika wa dini na madhehebu mengine. Tumjibu hoja zake. Dini na kabila yake havituhusu.
 
Huyo sio Jaji, anajipachika pachika tu titles ili aonekane wa maana
Kuna siku alikuomba umwite Jaji?

Mtu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu anahitaji aonekane wa maana au yeye ni mtu wa muhimu nchini?

Kwa taarifa yako, mzee Warioba hana hizo njaa!

Ni mtu aliyeelimika na kustaarabika aliyechagua kuweka mbele maslahi ya nchi.
 
Back
Top Bottom