Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshakula za mbavu mnaweweseka kama mataahira 🤣🤣🤣🤣Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
LINI MLIMTEUA BIBI ?Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Unafikiri watashindwa kubwatuka hilo?Mwishoe mtasema siyo Mtanganyika 😂😂😂
Sawa, siyo Jaji ni mkulima mwenye Elimu ya darasa la pili B. Jibuni sasa hoja zake!Huyo sio Jaji
Kwa mtazamo wako ni Watusi tu ndiyo wenye akili?Huoni anafanana na watusi
Don't asking me DUMBO question.Mumeo kasafiri?
Kilaza ktk ubora wakoKatika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo
Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?
Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Mtu anayekubali kuitwa chawa ana matatizo makubwa sana. Chawa na usafi ni kama Usiku na Mchana.Tatizo MACHAWA wanafikiri hizo Title zinatolewa na Rais wa Tazania tu.
Tanzania kuna watu wamepata Ujaji katika nchi tofauti pia.
Hao viumbe 6 tu ndio pekee waliokuwa/wenye uwezo wa kumpa mtu hadhi ya ujaji hapa duniani?Aliteuliwa na Nyerere? Mwinyi? Mkapa? Kikwete? JPM? Samia?
Elimu kwani unataka kuniajiri?
Sura yake haituhusu.Ana macho kama ya senene, madogo, labda kwa sababu ya sigara na gongo
Hilo linahusiana nini na uovu uliofanywa na Serikali kupitia TAMISEMI?Weka hukumu yake hata moja
Nina mashaka kama anajua hata maana ya Jaji!Haya tuambie kwanini anaitwa Jaji?