Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
Mshakula za mbavu mnaweweseka kama mataahira 🤣🤣🤣🤣
 
Wazee wameamua ,mbwai mbwai, hakuna wa kujibu hoja za Mzee na waziri mkuu Mstaafu, wazee wamepiga penyewe ,
 
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.

Katika orodha ya majaji wa nchi hii jina lake halimo

Kwa nini kwa muda wote huo ameruhusu jamii ipotoshwe na yeye akiwa kimya?

Zaidi zaidi aliwahi kukaa katika Baraza linaloshughulika na utatuzi wa migogoro ya bahari.
LINI MLIMTEUA BIBI ?
 
Kilaza ktk ubora wako
 
Tatizo MACHAWA wanafikiri hizo Title zinatolewa na Rais wa Tazania tu.

Tanzania kuna watu wamepata Ujaji katika nchi tofauti pia.
Mtu anayekubali kuitwa chawa ana matatizo makubwa sana. Chawa na usafi ni kama Usiku na Mchana.

Kama "wanaomshambulia" Jaji Warioba ni chawa sitawashangaa. Hawajui zaidi ya hilo walifanyalo.
 
Ana macho kama ya senene, madogo, labda kwa sababu ya sigara na gongo
Sura yake haituhusu.

Urembo wa mtu asiye mzalendo haujawahi kulisaidia Taifa hili labda kama unataka mamiss.

Hata ikitokea vita na nchi nyingine warembo na wahuni wote wa CCM watakimbia nchi na kuwaachia wazalendo kupigania nchi yao ya Tabganyika.
 
Hilo linahusiana nini na uovu uliofanywa na Serikali kupitia TAMISEMI?

Usihofu, hata TAMISEMI ikipelekwa mahakamani Jaji Warioba hatahusika kuisikiliza hiyo kesi, yeye alishastaafu.
Siku hiyo mlikanunulia whisky?
 
Back
Top Bottom