Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Usisahau wewe umeshindwa kumjibu mtoa post kuwa Jaji Warioba alipewa ujaji na nani. Wikipedia inasema "He served as a judge.......!" Sijui unaelewa maana yake?Ameanza kuitwa jaji wakati wewe bado unalamba makamasi chekechea.
Jibuni hoja za Warioba acheni vihoja.