Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

Ameanza kuitwa jaji wakati wewe bado unalamba makamasi chekechea.

Jibuni hoja za Warioba acheni vihoja.
Usisahau wewe umeshindwa kumjibu mtoa post kuwa Jaji Warioba alipewa ujaji na nani. Wikipedia inasema "He served as a judge.......!" Sijui unaelewa maana yake?
 
Tulipofikia sasa ni kubaya sana, kweli mtu unahoji ujaji wa Mzee Warioba?bora kuendelea kushabikia simba na yanga sio hili la ujaji ni aibu tupu
 
Gentleman,
hakuna sababu wala haja ya kukimbia au kumshambulia mtu yeyote ndani ya nchi yetu ya amani na umoja Tanzania.

kuelezana ukweli ni jambo muhimu sana la kizalendo dhidi ya unafiki wa mtu aliekua hadi na hadhi ya uwaziri mkuu, eti leo ana bwekabweka huko uchochoroni dhidi ya serikali sikivu ya CCM ambayo yeye pia alikua na nafasi nzuri mno ya kurekebisha unafiki anao mbwelambwela nao sasaivi ,

mawenge ya uzeeni ni mabaya sana 🐒
Huna Akili TIMAMU ww na yawezekana una mawenge zaidi ya mzee warioba,Hv hii serikali yako inasikiliza nn kwa Akili yako ambayo haijai hata kwenye kisude,Hv unadhani kuna jambo linalozidi usalama wa watu fisi ww.Una zaidi ya mawenge ndio maana unamtusi mzee warioba.
 
muerevu mbona unaweweseka ukiwa na mihemko iliyoambatana na pointless kiasi hicho?

Relax na ujieleze taratibu na wadau waweze kukuelewa.

sasa unakutupuka na kumbwelambwela tu hapa na hakuna cha maana unachoeleza zaidi ya makasiriko 🐒
 
Back
Top Bottom