PostGE2025 Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29

PostGE2025 Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Attachments

  • IMG_20251118_141855.jpg
    IMG_20251118_141855.jpg
    95.4 KB · Views: 22
Wewe mtoto wako akiharibu mali unamuua?au kama kulikuwa na vibaka mngewakamata na kuwapeleka mahakamani.siku ile watanzania wengi wenye nia njema na hili taifa waliandamana kwa sababu wanataka mabadiliko na haki kwa hiyo hakuna sababu yoyote inayohalalisha mauaji. Kuharubiwa kwa vitu haiwezi kuhalalisha mauaji kwa sababu maisha ya mtu hayana mbadala na kazi ya kukatisha maisha ya mtu ni ya Mungu tu.kwa sababu Mungu ndo anatoa huo uhai.na wewe ukimtoa mtu uhai na wewe Utatolewa uhai.
Maandamano yalipoharibiwa na Vibaka na Majambazi, kuanza kuchoma na kuiba mali za watu, ndio ikatoka amri ya kutotembea kuanzia saa 12 jioni, sasa wale wenye nia njema ya maandamano ya amani wangejitenga na kuelewa hili, sasa ilikuwaje maeneo yakawa yanavunjwa kibiwa na kuchomwa moto usiku?

1768511360122.png

1768511370756.png

1768511568867.png
 
******* hawa
Mama yangu anakaa Magomeni Mikumi, si walivyofurushwa barabarani kutoka Morogoro Rd wakakimbilia ndani ndani ya Magomeni mpaka Mikumi ikawa kila wakiona nyumba ina geti kubwa wanarusha mawe, hawa ******* wa Kimara huko kumejaa walugaluga wa mikoani ambao ni wezi na vibaka tu
Halali yao kufumuliwa vichwa
Wengine walitoka mikoani na nje ya nchi
 
Wengi waliochomewa ni wale ambao wakati wenzao wanapiga kelele mauaji,ufisadi,rushwa na Nk wao wamenyamaza kwa hiyo kwakuwa watanzania wametunza hasira kwa miaka mingi siku hiyo wakapata sehemu ya kutolea.kama kulikuwa na vibaka mngewakamata na kuwapeleka mahakamani.hakuna sababu yoyote inayoweza kuhahalisha yale mauaji.wauaji wote wamejitengenezea laana wao na watoto wao na damu ya waathirika zimeshamlilia Mungu kwahiyo wasubiri adhabu kutoka kwa Mungu.
Kwa kuwa wewe simba basi unataka kila mtu awe simba asiwe yanga
Laana mmejitengenezea nyinyi mbwa nyie
 
Maandamano yalipoharibiwa na Vibaka na Majambazi, kuanza kuchoma na kuiba mali za watu, ndio ikatoka amri ya kutotembea kuanzia saa 12 jioni, sasa wale wenye nia njema ya maandamano ya amani wangejitenga na kuelewa hili, sasa ilikuwaje maeneo yakawa yanavunjwa kibiwa na kuchomwa moto usiku?

View attachment 3530191
View attachment 3530192
View attachment 3530194
Kuchoma hayo maghari haihalalishi mauaji ya watu alafu watu wengi tu waliuaji majumbani mwao,kuna vijana waliuawa kwenye vibanda vya mpira,wengine madukani Nk.yale y mauaji hayakuwa sababu ya uharibifu wa mali bali kafara.
 
Si waliambiwa wasitoke nje,huko nje walienda kufanya nini!?
 
Wengine walitoka mikoani na nje ya nchi
Ukisema wengi walitoka mikoani na nje ya nchi mnamaanisha kuwa nchi hii hakuna ulinzi.mipakani hakuna ulinzi Nk.kuweni na akili hata kidogo .wale waliofariki ni wanganyika wenzetu na g
Hawakuwa na hatia ya kusababisha vifo vyao.
 
Wewe unahatia ya mauaji na yeye mapenzi ya njinsia moja wote mnahatia mtaishia sehemu moja.kazi ya kutoa uhai ni ya Mungu tu.
basi kama i hivyo netanyau atakuwa wapiÉ?nGeorge bush, Saddam na wengime mamilioni ? mhalifu anauwawa tu soma biblia maagizo mengi tu ya kuwaua vizuri wahalifu au maadui
 
basi kama i hivyo netanyau atakuwa wapiÉ?nGeorge bush, Saddam na wengime mamilioni ? mhalifu anauwawa tu soma biblia maagizo mengi tu ya kuwaua vizuri wahalifu au maadui
Hao wote ni mashetani tu.wengi wao hapo kama hawatauawa basi wanakuwa vichaa.wote ni washetani tu hapo
 
Back
Top Bottom