PostGE2025 Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29

PostGE2025 Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukisema wengi walitoka mikoani na nje ya nchi mnamaanisha kuwa nchi hii hakuna ulinzi.mipakani hakuna ulinzi Nk.kuweni na akili hata kidogo .wale waliofariki ni wanganyika wenzetu na g
Hawakuwa na hatia ya kusababisha vifo vyao.
Mimi kwenye hili sibishani,mlifanya mlichofanya,mkapata mlichopata
Model ya vurugu zenu ni copy and paste kule Iran, yaani kuna watu walikua na silaha wakiua polisi na raia
 
Mimi kwenye hili sibishani,mlifanya mlichofanya,mkapata mlichopata
Model ya vurugu zenu ni copy and paste kule Iran, yaani kuna watu walikua na silaha wakiua polisi na raia
Watu waliokuwa na silaha hapa Tanzania tunajua walikuwa ni vyombo vya usalama na wahuni walioletwa na samia na Abdul kutoka Zanzibar na kwingineko hakuna raia wa kawaida anayeweza kupata silaha wengi waliouwa hata silaha hawajui kutumia ni watu wema waliokuwa wanadai Tanzania bora.mauaji yalikuwa ya ovyoovyo mpka polisi au wanajeshi wenyewe wakaanza kuuana.kuhusu Iran mambo ni yaleyale watu wanataka mabadiliko ya kijamii na kiuchumi
 
tafadhali badilisha kichwa cha habari , wale ni MAJAMBAZI, MAJANGILI, MAHAYAWANI, MASHENZI, VIBAKA, WEZI MAJIMBWA KABISA, watu walionywa wakachoma mali za raia wema bila sababu shenzi kabisa , yaani kwa hili la kuwasamehe walioshikwa kweli nimemchukia angewanyonga wote , ikitokea nimekuwa rais hata 2040 nitawasaka tu wale washenzi walioponyoka niwachape risasi
Wewe kama sio mtu asiyejulikana basi utakuwa ni Mwigulu Nchemba bila shaka, maana si kwa chuki hiyo.
 
Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
Nimekupiga zinga la like hapo lazima wauwaji watanyea debe hatutawaacha
 
U
Ndugu mimi nina ofisi mbeya Uyole walipochoma kituo cha polisi na nyumba kadhaaa , walihangaika sana usiku kucha kuja kuvunja ATM za hapa kwa Rapha group na kuiba kwa jamaa ana pikipiki , toyo za miguu mitatu powertiller na matrecta mengi sana kisa anafadhili CCM walijaribu kupachoma zaidi ya mara 30 na pangeungua tu kwake na kwetu kote kungeungua tumewazuia kwa kupiga risasi juu wapi wanaondoka nusu saa wanarudi wengine wengi mnapiga risasi juu wanondoka baada ya lisaa wanarudi wengi mnawafunkuza wanarudi usiku wa manane , VIBAKA WATUPU MAJAMBAZI NASHANGAAA WATU WANAWAITA WAANDAMANJI WALE MBWA
Meshasema hapo walikuja kuchoma au kuvamia kwa wafadhili wa CCM.
Jiulize kwanini CCM ichukiwe hivyo?
 
Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
Kabisa kabisa kabisa kabisa...
 
Mauaji hayo yalipangwa maksudi, na lengo lake kubwa lilikuwa ni kuonyesha mfano ambao ungewatisha waTanzania wasithubutu tena kuhoji uwepo kwenye utawala Samia Suluhu Hassan.

Inaeleea kuwa kwa tathmini yake na Genge linalomzunguka, kuwa lengo lao hilo limefanikiwa kwa kiasi; hata kama bado waTanzania hawaonyeshi kukubali na kunyamaza.

Sasa matumaini yao ni kununua muda, kwamba taratibu waTanzania watazoea na kusahau yaliyotokea; na yeye Samia na Genge lake wataendelea kutawala watu waliojawa hofu kubwa.
 
Udai haki kwa kuchoma moto mali za watu na umma?..uumize watu,uibie watu, halafu unataka usikung'utwe,we nani!?..waambieni na maaskofu wenu mrudie tena,kenge nyie!
Hilo swali la "wewe nani", sasa linamhusu barabara Samia Suluhu Hassan, ambaye ni MHALIFU. Kamwe hawezi kuachwa hivi hivi bila ya kuwajibishwa kwa uovu mkubwa aliolifanyia taifa hili.

Samia kishajimaliza mwenyewe; nyinyi washangiliaji wake hamna msaada wowote kwake.
 
U
Meshasema hapo walikuja kuchoma au kuvamia kwa wafadhili wa CCM.
Jiulize kwanini CCM ichukiwe hivyo?
si uamuzi wa mtu kuchagua chama, kwani ni lazima wote tuwe chauma au chadema? hivi ccm waliamua kuchoma nyumba za wana chadema au kuwaapiga ban vijana wao si watakufa wote ? maana ni rahisi sana na ccm wana nguvu haswa
 
Hujajibu swali.
Kwanini CCM ichukiwe hivyo?
Hapo zamani ilichukiwa hivyo?
Kwanini sasa wakati wa Samia au wakati wa Kikwete enzi za kuvua gamba?
 
Watu waliokuwa na silaha hapa Tanzania tunajua walikuwa ni vyombo vya usalama na wahuni walioletwa na samia na Abdul kutoka Zanzibar na kwingineko hakuna raia wa kawaida anayeweza kupata silaha wengi waliouwa hata silaha hawajui kutumia ni watu wema waliokuwa wanadai Tanzania bora.mauaji yalikuwa ya ovyoovyo mpka polisi au wanajeshi wenyewe wakaanza kuuana.kuhusu Iran mambo ni yaleyale watu wanataka mabadiliko ya kijamii na kiuchumi
Polisi zaidi ya ishirini waliuawa kwa silaha
 
Hujajibu swali.
Kwanini CCM ichukiwe hivyo?
Hapo zamani ilichukiwa hivyo?
Kwanini sasa wakati wa Samia au wakati wa Kikwete enzi za kuvua gamba?
CCM inachukiwa na baadhi ya watu tangu 1995
Ila leo genge fulani la kidini baada ya maslahi yao kuwa shakani,likatumia wafuasi wake kutaka kupindua serikali
 
Back
Top Bottom