PostGE2025 Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maandamano yalipoharibiwa na Vibaka na Majambazi, kuanza kuchoma na kuiba mali za watu, ndio ikatoka amri ya kutotembea kuanzia saa 12 jioni, sasa wale wenye nia njema ya maandamano ya amani wangejitenga na kuelewa hili, sasa ilikuwaje maeneo yakawa yanavunjwa kibiwa na kuchomwa moto usiku?

Wengine walitoka mikoani na nje ya nchi
 
Kwa kuwa wewe simba basi unataka kila mtu awe simba asiwe yanga
Laana mmejitengenezea nyinyi mbwa nyie
 
Kuchoma hayo maghari haihalalishi mauaji ya watu alafu watu wengi tu waliuaji majumbani mwao,kuna vijana waliuawa kwenye vibanda vya mpira,wengine madukani Nk.yale y mauaji hayakuwa sababu ya uharibifu wa mali bali kafara.
 
Si waliambiwa wasitoke nje,huko nje walienda kufanya nini!?
 
Wengine walitoka mikoani na nje ya nchi
Ukisema wengi walitoka mikoani na nje ya nchi mnamaanisha kuwa nchi hii hakuna ulinzi.mipakani hakuna ulinzi Nk.kuweni na akili hata kidogo .wale waliofariki ni wanganyika wenzetu na g
Hawakuwa na hatia ya kusababisha vifo vyao.
 
Wewe unahatia ya mauaji na yeye mapenzi ya njinsia moja wote mnahatia mtaishia sehemu moja.kazi ya kutoa uhai ni ya Mungu tu.
basi kama i hivyo netanyau atakuwa wapiÉ?nGeorge bush, Saddam na wengime mamilioni ? mhalifu anauwawa tu soma biblia maagizo mengi tu ya kuwaua vizuri wahalifu au maadui
 
basi kama i hivyo netanyau atakuwa wapiÉ?nGeorge bush, Saddam na wengime mamilioni ? mhalifu anauwawa tu soma biblia maagizo mengi tu ya kuwaua vizuri wahalifu au maadui
Hao wote ni mashetani tu.wengi wao hapo kama hawatauawa basi wanakuwa vichaa.wote ni washetani tu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…