gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Mimi kwenye hili sibishani,mlifanya mlichofanya,mkapata mlichopataUkisema wengi walitoka mikoani na nje ya nchi mnamaanisha kuwa nchi hii hakuna ulinzi.mipakani hakuna ulinzi Nk.kuweni na akili hata kidogo .wale waliofariki ni wanganyika wenzetu na g
Hawakuwa na hatia ya kusababisha vifo vyao.
Hakuna sababu inayoweza kuhalalisha mauaji ya halaiki.yale mauaji ya tarehe 29 yamesababisha nchi iwe na laana ila wauaji wanalaana zaidi.kwa imani yako sawa lakini kwa yangu hapana ni watu na siwahukumu wametenda kwa sababu
Watu waliokuwa na silaha hapa Tanzania tunajua walikuwa ni vyombo vya usalama na wahuni walioletwa na samia na Abdul kutoka Zanzibar na kwingineko hakuna raia wa kawaida anayeweza kupata silaha wengi waliouwa hata silaha hawajui kutumia ni watu wema waliokuwa wanadai Tanzania bora.mauaji yalikuwa ya ovyoovyo mpka polisi au wanajeshi wenyewe wakaanza kuuana.kuhusu Iran mambo ni yaleyale watu wanataka mabadiliko ya kijamii na kiuchumiMimi kwenye hili sibishani,mlifanya mlichofanya,mkapata mlichopata
Model ya vurugu zenu ni copy and paste kule Iran, yaani kuna watu walikua na silaha wakiua polisi na raia
Sasa hivi sura imemporomoka kama kahaba aliyetoka kutoa mimba. Atakufa kifo cha mateso makali sanaWahusika wote watakamatwa akiwemo aliyewatuma
Wewe kama sio mtu asiyejulikana basi utakuwa ni Mwigulu Nchemba bila shaka, maana si kwa chuki hiyo.tafadhali badilisha kichwa cha habari , wale ni MAJAMBAZI, MAJANGILI, MAHAYAWANI, MASHENZI, VIBAKA, WEZI MAJIMBWA KABISA, watu walionywa wakachoma mali za raia wema bila sababu shenzi kabisa , yaani kwa hili la kuwasamehe walioshikwa kweli nimemchukia angewanyonga wote , ikitokea nimekuwa rais hata 2040 nitawasaka tu wale washenzi walioponyoka niwachape risasi
Ni suala la muda tu. Samia the butcher amezika maelfu ya vijana wakiwa hai, hakika huyu Malikia wa Kifo mwisho wake utakuwa mbaya sana. Na ni very soon..Unafikiri wale waliouawa hawajamlilia Mungu na ndugu zao je?Sio mimi Mungu atatoa adhabu
Nimekupiga zinga la like hapo lazima wauwaji watanyea debe hatutawaachaHakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
Meshasema hapo walikuja kuchoma au kuvamia kwa wafadhili wa CCM.Ndugu mimi nina ofisi mbeya Uyole walipochoma kituo cha polisi na nyumba kadhaaa , walihangaika sana usiku kucha kuja kuvunja ATM za hapa kwa Rapha group na kuiba kwa jamaa ana pikipiki , toyo za miguu mitatu powertiller na matrecta mengi sana kisa anafadhili CCM walijaribu kupachoma zaidi ya mara 30 na pangeungua tu kwake na kwetu kote kungeungua tumewazuia kwa kupiga risasi juu wapi wanaondoka nusu saa wanarudi wengine wengi mnapiga risasi juu wanondoka baada ya lisaa wanarudi wengi mnawafunkuza wanarudi usiku wa manane , VIBAKA WATUPU MAJAMBAZI NASHANGAAA WATU WANAWAITA WAANDAMANJI WALE MBWA
Kabisa kabisa kabisa kabisa...Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
Hilo swali la "wewe nani", sasa linamhusu barabara Samia Suluhu Hassan, ambaye ni MHALIFU. Kamwe hawezi kuachwa hivi hivi bila ya kuwajibishwa kwa uovu mkubwa aliolifanyia taifa hili.Udai haki kwa kuchoma moto mali za watu na umma?..uumize watu,uibie watu, halafu unataka usikung'utwe,we nani!?..waambieni na maaskofu wenu mrudie tena,kenge nyie!
si uamuzi wa mtu kuchagua chama, kwani ni lazima wote tuwe chauma au chadema? hivi ccm waliamua kuchoma nyumba za wana chadema au kuwaapiga ban vijana wao si watakufa wote ? maana ni rahisi sana na ccm wana nguvu haswaU
Meshasema hapo walikuja kuchoma au kuvamia kwa wafadhili wa CCM.
Jiulize kwanini CCM ichukiwe hivyo?
Hujajibu swali.si uamuzi wa mtu kuchagua chama, kwani ni lazima wote tuwe chauma au chadema? hivi ccm waliamua kuchoma nyumba za wana chadema au kuwaapiga ban vijana wao si watakufa wote ? maana ni rahisi sana na ccm wana nguvu haswa
Ndiyo akili yako ilipoishia?!..Wewe kuwa Simba au Yanga haikuzuii kupigia kelele maovu.kama umenyamaza inamaanisha wewe unafaidika na hayo maovu.
Polisi zaidi ya ishirini waliuawa kwa silahaWatu waliokuwa na silaha hapa Tanzania tunajua walikuwa ni vyombo vya usalama na wahuni walioletwa na samia na Abdul kutoka Zanzibar na kwingineko hakuna raia wa kawaida anayeweza kupata silaha wengi waliouwa hata silaha hawajui kutumia ni watu wema waliokuwa wanadai Tanzania bora.mauaji yalikuwa ya ovyoovyo mpka polisi au wanajeshi wenyewe wakaanza kuuana.kuhusu Iran mambo ni yaleyale watu wanataka mabadiliko ya kijamii na kiuchumi
CCM inachukiwa na baadhi ya watu tangu 1995Hujajibu swali.
Kwanini CCM ichukiwe hivyo?
Hapo zamani ilichukiwa hivyo?
Kwanini sasa wakati wa Samia au wakati wa Kikwete enzi za kuvua gamba?
Kuna kifo cha mateso kuzidi cha yesu!?Sasa hivi sura imemporomoka kama kahaba aliyetoka kutoa mimba. Atakufa kifo cha mateso makali sana
Kabisa kabisaHakuna sababu inayoweza kuhalalisha mauaji ya halaiki.yale mauaji ya tarehe 29 yamesababisha nchi iwe na laana ila wauaji wanalaana zaidi.
Wewe kahaba nenda kasafishe papa yako kwanza ndiyo urudi humuKuna kifo cha mateso kuzidi cha yesu!?