Kwa akili yako ambayo Nina uhakika u timamu.CCM inachukiwa na baadhi ya watu tangu 1995
Ila leo genge fulani la kidini baada ya maslahi yao kuwa shakani,likatumia wafuasi wake kutaka kupindua serikali
Wapuuzi kweli hawa jamaa, walitaka waachwe waichome nchi nzima kadri walivyojisikia.Mngeachwa muchome mali na kuua watu siyo!?..rudieni tena wacenge nyie
Waliuawa na wenzao kwa sababu walikuwa wanawaua watanzania ovyoovyo.waandamanaji hawakuwa na silaha yoyote.Polisi zaidi ya ishirini waliuawa kwa silaha
Mali zilizochomwa ni za machawa na za mafisadi.ila hata mtoto wako akiharibu mali huwezi kumuua.Uhai hauna mbadala.samia na nyie machawa wa CCM mna laana ya mauaji na laana itawamaliza wote.Wapuuzi kweli hawa jamaa, walitaka waachwe waichome nchi nzima kadri walivyojisikia.
Mpaka hivi sasa kuna taasisi nyingi zimeshindwa kusimama tena kiuchumi kwa sababu ya ule ushenzi.
Wanadhani wao ndio wenye haki peke yao, wanadhani Mungu ni wa kwao peke yao.
Mngeachwa muchome mali na kuua watu siyo!?..rudieni tena wacenge nyie
Laana imeshaanza kufanya kazi ona ulivyochanganyikiwa.na bado wote laana za mauaji zitawaua mpaka Samia.Tena wakirudia hao wase.nge dawa ni kuwatafuta watu wa kuwafirah kwanza
Mali zilizochomwa ni za machawa na za mafisadi.ila hata mtoto wako akiharibu mali huwezi kumuua.Uhai hauna mbadala.samia na nyie machawa wa CCM mna laana ya mauaji na laana itawamaliza wote.
Rudieni tena sasa ma.fala nyinyi
Muichome nchi kisha tuwaache nyinyi mmekuwa nani kenge nyinyi
Si mlisema mnarud tena road mbona kimya ?
Tutarudi barabarani soon kusherekea kuanguka kwa muuaji Samia na genge lake ni suala la muda tu kwa sababu laana imeshaanza kufanya kazi kwa mfano wewe umeshanganyikiwa hapo.
******* kweli hawa jamaaUdai haki kwa kuchoma moto mali za watu na umma?..uumize watu,uibie watu, halafu unataka usikung'utwe,we nani!?..waambieni na maaskofu wenu mrudie tena,kenge nyie!
Waache tu hawajui kuwa kutoa uhai wa mtu ni jambo zito sana.
Wale mafala wameichoma hii nchi na mali za nchi na watu binafsi kisha ukitaka waachwe wapindue nchi??
Kwani nyinyi wafuasi wa kanisa akili zenu mbona ni za hovyo sana??
Kanisa likitaka yatokee kama yale ya rwanda ndipo wafurahi siyo
Sasa kama linaweza liwatume tena muone tutawafanya nini
Watu kuharibu mali haihalalishi yale mauaji.kwani mali sio kitu mbele ya uhai wa watu.mmepata laana na soon tutarudi barabarani kushangilia kuanguka kwa serikali ya wauaji.******* kweli hawa jamaa
Kwahiyo nini maana ya kuwa nchi na kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama sasa
Waachwe waichome.nchi kadir watakavyo kwani wao ni nani hasa.
Waje tena sasa waone
Wewe mjinga watu hawataacha kudai haki hata siku moja safari ijayo sio gen z tu hata watu wakubwa watatoka kama mambo hayatabadilika.ila uzuri ni kuwa mambo yatabadilika wauaji wote kwa sababu ya laana watakufa na haki itarudi Tanzania.Kama walikuwa wanajua thamani ya uhai wasingetoka na kuanza kuuchezea huo uhai
Wamecheza na uhai wamepata mauti,jaribu na wewe kucheza na uhai kisha uone utavuna nini kenge wewe.
Yani unafananisha Fujo za mwanao nyumbani kwako na Fujo za wale vibaka waliokuwa wanachoma Mali za watu na kuibaWewe mtoto wako akichoma au kuharibu mali unamuua?kweli nyie wauaji hamna akili.Soon mtaanza kuvuna msharaha wa dhambi ya mauaji ambayo ni mauti.
Mngewakamata au kuwafukuza.kuua watu ovyoovyo siku ile haihalalishwi na kitu chochote.mbaya zaidi mliwafuata watu kuwaua mpaka manyumbani na sehemu za biashara na starehe.tofauti ya mtoto wako nyumbani na wale waandamanaji ni kwamba waandamanaji walikuwa wanataka mabadiliko mazuri kwenye nchi.Yani unafananisha Fujo za mwanao nyumbani kwako na Fujo za wale vibaka waliokuwa wanachoma Mali za watu na kuiba
Tuchukulie labda serikali ungeifuata ushari wako na kuwaacha tu wale vibaka wafanye wanavyotaka sahizi nchi ingekuwaje maana Hadi Leo hii wangekuwa bado wanaendelea tu kuchoma na kuiba Mali za wutu
Hawafanyi hvyo?unajua hili kwamba mmoja ya tuhuma iliyopelekwa icc ni pamoja kuwasaka na kuua wapinzani haswa chadema wametekwa na kuuliwa kabla na baada ya uchaguzi.kwanini uwaue wapinzani wako?si uamuzi wa mtu kuchagua chama, kwani ni lazima wote tuwe chauma au chadema? hivi ccm waliamua kuchoma nyumba za wana chadema au kuwaapiga ban vijana wao si watakufa wote ? maana ni rahisi sana na ccm wana nguvu haswa
wengne umewapiga risasi ukasema ni vibaka wengne umewabaka kwenye vituo vya polisi nao unawaitaje? wengne umewazika wakiwa hai nao ni vibaka wapo hadi watoto wadogo nao unawaitaje? wengne umewapeleka mochwari wakiwa hai nao unawaitaje? haya basi umewaua na kubaka raia au vibaka zaidi ya elfu kumi.je nani mhalifu kati ya ww na hao unaowaita vibaka?Rudieni tena sasa ma.fala nyinyi
Muichome nchi kisha tuwaache nyinyi mmekuwa nani kenge nyinyi
Si mlisema mnarud tena road mbona kimya ?