Hakuna serikali yoyote duniani iliyofanikiwa kuwadharau Raia wake huku ikifanya itakavyo milele ikafanikiwa

Hakuna serikali yoyote duniani iliyofanikiwa kuwadharau Raia wake huku ikifanya itakavyo milele ikafanikiwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tambueni kwamba wananchi ndio wenye nchi, kwahiyo wanachokitaka ndio kinachopaswa kuwa kipaumbele, dharau, kiburi, jeuri havijawahi kuacha salama serikali yoyote ile.

Na wala hakuna serikali ilfanikiwa kwa kutegemea vyombo vya dola na watekaji, haijawahi kuwepo, kudharau baadhi ya wastaafu na kupuuza maoni yao ya msingi na kuchukua maoni ya kijinga ya wastaafu wachache wahafidhina ni kujichimbia kaburi.

Msije kusema hatukuwaambia .
 
Hivi wewe ungekuwa Rais ungekubali kufuta vipengele vya katiba ambavyo Jemima Jackson ametuonesha wakati ukiwa unagombea? Watu mnasema tu kwa vile ni makapuku.

Rejea
Vipengele vya Katiba vinavyompa JEURI Rais wa nchi. Ibara 46(1) inayompa KINGA ya kutoshtakiwa kwa kosa la JINAI, ibara 41(7) inayokataza matokeo ya kura za Uraia yasichunguzwe, hata na mahakama & ibara 74(12) inayokataza Tume ya Uchaguzi (NEC) kufikishwa mahakamani.

Kinachofanyika ni kwamba, Rais anatoa MAAGIZO kwa NEC na wasimamizi wa Uchaguzi WAMPENDELEE yeye na chama chake, NEC itatekeleza AGIZO. Ukitaka kumuadhibu Rais huwezi, ibara 46(1) inamkinga, humgusi kabisa! Ukitaka kuiadhibu NEC, huwezi, ibara 74(12) inaipa ULINZI, NEC haigusiki. Ukitaka kwenda mahakamani KUPINGA matokeo kwamba Rais ameiba uchaguzi, pia huwezi, ib 41(7) INAKATAZA – yaani matokeo yakoshatangazwa ngoma imeisha, hata kama una USHAHIDI umeshinda wewe.
 
Kweli kabisa, raia watavumilia lakini mwisho wa siku wakipata kiongozi mzuri mwanamapinduzi, lazima waasi serikali yao!
 
Kuna mtu kaamua kujivika bomu anazurura nalo mtaani. Hata baada ya kushauriwa ajivue aishi salama yeye hataki kabisa. Anajiziba masikio. Ngoja tusubiri mlipuko wake.
 
SEMA serikali imedharau mawazo ya Lissu na Mbowe na wafuasi wao.
 
Tambueni kwamba wananchi ndio wenye nchi, kwahiyo wanachokitaka ndio kinachopaswa kuwa kipaumbele, dharau, kiburi, jeuri havijawahi kuacha salama serikali yoyote ile.

Na wala hakuna serikali ilfanikiwa kwa kutegemea vyombo vya dola na watekaji, haijawahi kuwepo, kudharau baadhi ya wastaafu na kupuuza maoni yao ya msingi na kuchukua maoni ya kijinga ya wastaafu wachache wahafidhina ni kujichimbia kaburi.

Msije kusema hatukuwaambia .

Mada zako utazani watanzania wote wamekutuma uwaongelee
We na wenzio kama mnaipinga serikali bhc jua na mimi na wananchi wengine tuna support
Mpigie kura lissu
Sisi tumpgie samia
Wote sisi ni watz hatuezi kua sawa kimawazo
 
Back
Top Bottom