Hakuna serikali yoyote duniani iliyofanikiwa kuwadharau Raia wake huku ikifanya itakavyo milele ikafanikiwa

Mada zako utazani watanzania wote wamekutuma uwaongelee
We na wenzio kama mnaipinga serikali bhc jua na mimi na wananchi wengine tuna support
Mpigie kura lissu
Sisi tumpgie samia
Wote sisi ni watz hatuezi kua sawa kimawazo
Wanaosapoti wengi wako hivi


 
Kwa hali hii, jamaa wataachia wengine kweli?
 
Ipo siku inakuja wataelewa tu kwa sasa wamelewa pombe kali hivyo hawawezi kuelewa.
 
Wachache saaaanaaa,watakuelewa😂
 
Sidhan kama wafia CCM na machawa pro max Watakuelewa, watakuja na kauli za kubeza!!
 
Hakuna kitu kinachokaa Milele iwe kizuri au kibaya....

All things trend toward disorder. More specifically, the second law of thermodynamics states that “as one goes forward in time, the net entropy (degree of disorder) of any isolated or closed system will always increase.”
 
Kura yako haina impact yoyote kwenye matokeo ya uchaguzi. Ni kiini macho tu kisha wanawatangaza wanaowataka.
Na tatizo ndio liko hapa. Serikali ikishajua wananchi hamna cha kuwafanya ndio basi tena
 
Mada zako utazani watanzania wote wamekutuma uwaongelee
We na wenzio kama mnaipinga serikali bhc jua na mimi na wananchi wengine tuna support
Mpigie kura lissu
Sisi tumpgie samia
Wote sisi ni watz hatuezi kua sawa kimawazo
Hapo ulipo kuna umeme?
 
Unawezaje kukufuru Mungu kwa kusifia serikali inayouza bandari ili kulipa mafao wake wa viongozi ?
Chadema bila kutoka kwenye uenyekiti Mbowe hamna kitu, hawaeleweki, utakuta wako kumchafua shujaa magu tu
 
Eti kweli? Lussu kalala mbele na pesa za mwambulukusu na mdudu?

Mbowe nae kagoma kugawa mgao kwa lussu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…