Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Niwajibu wetu kuwakumbusha na kuwaelimishaTambueni kwamba wananchi ndio wenye nchi, kwahiyo wanachokitaka ndio kinachopaswa kuwa kipaumbele, dharau, kiburi, jeuri havijawahi kuacha salama serikali yoyote ile.
Na wala hakuna serikali ilfanikiwa kwa kutegemea vyombo vya dola na watekaji, haijawahi kuwepo, kudharau baadhi ya wastaafu na kupuuza maoni yao ya msingi na kuchukua maoni ya kijinga ya wastaafu wachache wahafidhina ni kujichimbia kaburi.
Msije kusema hatukuwaambia .
Chawa ni chawa tu! Utalamba soli ya kiatu ukisifia.....SEMA serikali imedharau mawazo ya Lissu na Mbowe na wafuasi wao.
Eti lile deal la DPWorld mmetema bungo, au mmeendelea kukaza fuvu?Eti kweli? Lussu kalala mbele na pesa za mwambulukusu na mdudu?
Mbowe nae kagoma kugawa mgao kwa lussu.
Hizo ndio hela gani ?Eti kweli? Lussu kalala mbele na pesa za mwambulukusu na mdudu?
Mbowe nae kagoma kugawa mgao kwa lussu.
2025 siyo mbali. Mechi itakuwa DP World dhidi ya wananchi. DP World wamejipanga kumwaga pesa ya kuiteka nchi na kuifanya koloni lao milele.
Wananchi wanaotegemera kufanya maamuzi kwa busara nao bado wanaogelea kwenye ujinga na ushabiki usiokuwa na faida yoyote kwao.