father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
NakaziašKATAA SINGLE MAZA.
SINGLE MAZA NI MKE WA MTU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziašKATAA SINGLE MAZA.
SINGLE MAZA NI MKE WA MTU.
Kweli huo mtihani mkuuHalafu vitoto vya singo mazas vinakuaga vijeuri na tabia za ajab ajab..ukikatia mboko utaonekana Kama hukapendi,kwa hiyo inabidi tu utulie huku ukiendelea kushangaa..Kwa utafiti nilioufanya vitoto vya singo mazas vinakuaga na mambo flan yan unaweza kujiuliza haka ni katoto au kajini...bora huyo singo maza awe na mtoto wa kike
Nafahamu, nilishawahi kuishi na singo maza,yan ukimkuta mwamba anaishi na singo maza na wamedumu kwa hata miezi mitatu!!!...huyo jamaa mpe heshima yake..hao watu wa kuitwa singo maza wana changamoto aisee...usipokuwa na ujasiri unachemka mapema tuKweli huo mtihani mkuu
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ššššš š š šUkipenda ua penda na boga lake....
Hivyo mkiamua kuingia huko wapendeni na waume wenzenu... 𤣠š¤£
Single mother wa mtoto wa kike hana hata shida huyo ni sawa na hajazaa unaishi nae poa kabisa ila wa mtoto wa kiume kuishi nae ni muujiza ni 1/100Halafu vitoto vya singo mazas vinakuaga vijeuri na tabia za ajab ajab..ukikatia mboko utaonekana Kama hukapendi,kwa hiyo inabidi tu utulie huku ukiendelea kushangaa..Kwa utafiti nilioufanya vitoto vya singo mazas vinakuaga na mambo flan yan unaweza kujiuliza haka ni katoto au kajini...bora huyo singo maza awe na mtoto wa kike
Ifike muda mtupumzishe jamani, sio kila single mother kazaa nje ya ndoa,Mtihani mkubwa kwa single mothers ni kubalansi upendo kati ya mtoto wake na mpenzi wake.
Akimpenda sana mtoto wake atahakikisha mtoto anapata love ya baba yake mzazi hivyo atakuwa na mawasiliano very active na baba wa mtoto wake ili kuwakeka karibu.
Akimpenda sana bwana wake atazuia mawasiliano ya yeye na ex wake ambae ni baba wa mtoto wake maana hakuna mwanaume anapenda kuona mke au girlfriend wake anakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na baba wa mtoto wake hii connection wote tunajua ni hatari.
Huu ni mtihani ambao single mothers unawasumbua sana wanajikuta kama wapo kifungoni kwenye magereza mawili tofauti.
Kama binti unataka amani kwenye ndoa yako hapo baadae jitahid usizae nje ya ndoa.
Laivu,unaweza kukuta kanacheza huko weee ila muda wa shoo paap haka hapa kanazinda...Kuna kamoja hako usiku nikilala na mama yake yan kanaliaa kichizi kanataka kalale katikati yangu na mama yake...yan ni kana komaaa kabisa imagine katoto ka miaka miwiliSingle mother wa mtoto wa kike hana hata shida huyo ni sawa na hajazaa unaishi nae poa kabisa ila wa mtoto wa kiume kuishi nae ni muujiza ni 1/100
Kila siku same diss...halafu usikute majumbani kuna wenye dada single mothers Wengi Tu still wakija humu ni same stories.....Kuna dada mmoja katika salamu zake za mwaka huu mpya 2024, aliomba tuache kuwapiga madongo single mothers.
Naona hata wiki ya kwanza ya mwaka mpya hatujamaliza,maombi yake hayajazingatiwa.
Sio wote nina rafiki amekuwa kama dada mumew kamkuta na watoto wawili na wanapendana hakuna mfano yule dada ana furahia sana maishayake na mumewe na Yuko positive kwenye kilajambo kuhus yeye na mumewe na watoto ambao sio mumewe na kamzalia jamaa mtoto mmojaShida nyingine ya single mother wana psychological damage kutokana na kutendwa wanakuwa hawaamini mwanaume kwa asilimia kubwa so inapelekea kutokupa mapenzi ya dhati atapretending mwanzoni wa mapenzi baada ya hapo anarudi kwenye uhalisia wake
Single fathers pia mtukumbuke kwenye ufalme wenu, ukinipenda mimi basi penda pia Ke mwenzio, ila si Ke...[emoji1745][emoji2960]Ukipenda ua penda na boga lake....
Hivyo mkiamua kuingia huko wapendeni na waume wenzenu... [emoji1787] [emoji1787]
Washikilie tu hpa ushauri makiniKama binti unataka amani kwenye ndoa yako hapo baadae jitahid usizae nje ya ndoa.
Kuna ukweli hapa.Shidsa ya single maza akikuganda amekuganda, hutapumua
Singel mother this ... single mother that ..., kwani kuna double mother?Kila siku same diss...halafu usikute majumbani kuna wenye dada single mothers Wengi Tu still wakija humu ni same stories.....
Sio kila single mother ni kwasababu ya kutendwaShida nyingine ya single mother wana psychological damage kutokana na kutendwa wanakuwa hawaamini mwanaume kwa asilimia kubwa so inapelekea kutokupa mapenzi ya dhati atapretending mwanzoni wa mapenzi baada ya hapo anarudi kwenye uhalisia wake