Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Nje ya mada sijui: Kuna soul ties nyingi mno ndo maana single mother au asie single mother falls back to the ex. Imagine, mwanamke kaolewa na kaka mmoja, ana watoto wake wawili anapendwa na mwanaume hakuwa na mambo mengi. Lakin akajaga kukutana na ex wake waliokuwaga an item in the past.
Akashindwa kujizuia na she fell back in love with him. Jamaa akamrubuni na yeye akakaa standby. Mume akaja kugundua wakagombana sana ila dada alikuwa a corporate chic..akavunja ndoa majestically. Ex chappp akamlamba miguu kidogo weee mwisho akatimua na mil 56 za dada. Ukawa msiba kwa dada...najaribu kusema nini,
Tupunguze body counts jamani. Wengi wetu zinatufanya unstable kihisia. Na mwanamke uliyeko somewhere peaceful..meet an ex ama past endeavour, hakuna kuwa na namba zao ama chit chats na lunch dates. Ni rahisi sana kuanguka. Kuna wenye misimamo sikatai, but be watchful..usijiamini sana sometimes. Believe in God and Put your trust in Him. Kuna disasters nyingi naziona katika vizazi vya sikuhizi...watu hatutaki kulet the bygones be the bygones kiasi kwamba na ndoa tunazirisk kwaajili ya fake moments we think we are having...mara nyingi the grass aint greener on the other side. Know this and know peace!!!