Hakuna single mother anaweza faulu huu mtihani, ndio maana wanaonekana miyeyusho

Single mother wa mtoto wa kike hana hata shida huyo ni sawa na hajazaa unaishi nae poa kabisa ila wa mtoto wa kiume kuishi nae ni muujiza ni 1/100
Kuna ukoo mmoja kule upareni huruhusiwi kuoa single mother mwenye mtoto wa kiume asilani. Sababu wanazijua wao
 
Huyu mama naye pamoja na wewe hamumtendei huyo mtoto haki. Ila huyo mwanamke ni noma, yaani mtoto ana miaka 2 keshatafuta bwana mwingine wa kumuongezea usingle mother.
 
Umeongea point let ask you out of topic inawezekana kwa mwanamke kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye ni rafiki wa karibu sana?
Na mwanamke huyu yuko katika ndoa ama nje??kama ni nje inawezekana kabisa ILA kama kutakuwa na a border isiovukwa. Though bado kuna 10% she could eventually fall into feelings zone...lakini kama yuko ndani ya something serious...aisee haiwezekani. Wazee wetu walikua na too little social networks and yet walivalue familia....kuliko kitu chochote. Mwanamke ni hisia, akizipata sehemu nyingine mbali na sehemu husika anatekekeka kirahisi sana. Ila kama unajiweza be my guest....jamvi nakutandikia ulikalie yakheee.....
 
Single mothers wote nawapenda, mpo poa mna mapenzi ya kweli. Shida ni pale unapo date na single mama ambaye bado ana upendo na ex wake, mtoto atakuwa sababu ya mawasiliano na ex wake
 

Vijana someni hapa. Mjifunze.
Niliwaambia mimi mnasema nilijuaje. Mwanamke kufunguka.
 
Single maza wengi ni wagonjwa wa akili. Kikubwa mwanamke ili asiwe mgonjwa wa akili ni kuhakikisha hazai nje ya ndoa iliyofungwa kihalali hata iwaje

* Wanaume tuendelee kuwakataa singo maza kadiri tuwezavyo*
 
single mothers lazima waliwe
 
Nimependa hiyo line ya mwisho
 
Mapenzi ya Mama kwa Mtoto na Mama kwa Mume au Mpenzi ni Sawa ? Je utakuwa kweli sawa kichwani kujaribu au kukasirika kwamba Penzi ambalo lingekuja kwako linakwenda kwa mtoto wake ? Na je likienda kula linapungua huku ?

Kwa ushauri tu inabidi uwe mature na mwenye uhakika na Busara kuingia katika mahusiano kama hayo...., Sababu hapo kuna maisha ya mtoto pia na sio yenu tu wawili (kwahio utakuwa shetani na petty kama utakuwa kikwazo cha muunganiko wa huyu mama na mwanae hivyo kama unasita acha kuingia usije kuharibu maisha ya watu)
 
Nafahamu, nilishawahi kuishi na singo maza,yan ukimkuta mwamba anaishi na singo maza na wamedumu kwa hata miezi mitatu!!!...huyo jamaa mpe heshima yake..hao watu wa kuitwa singo maza wana changamoto aisee...usipokuwa na ujasiri unachemka mapema tu
Ndaaah hii inanihusu aisee, mm ndan 5 chali akaondoka aiseee
 
Single mother wa mtoto wa kike hana hata shida huyo ni sawa na hajazaa unaishi nae poa kabisa ila wa mtoto wa kiume kuishi nae ni muujiza ni 1/100
Hebu nipe maelezo yakinifu hapo make nami yameshamikumba alikuwa na wa kiume, miez 5 tu chali
 
Haya unayosema anatakiwa ayafikirie baba wa mtoto.... mtoto wa single mother sio ndugu yako ni mshikaji tu so kama mama inabidi awe busy na ex sababu ya mtoto ikiwezekana aende moja kwa moja
 
Mademoiselle nataka niwe mgeni wako vipi utanikaribisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…