Hakuna taasisi yenye pesa kama Bodi ya michezo ya kubahatisha

Hakuna taasisi yenye pesa kama Bodi ya michezo ya kubahatisha

Na ndiyo sehemu pendwa ya Nchi kujikusanyia Mapato yake.
Nilichokiona sijaamini,pesa ya huko tamu sana na inaliwa kimya kimya sababu hawajadeal sana na public.

Serikali inafaidika sana na hii Bodi.
 
Wakuu

Wafanyakazi kwenye hii Bodi wanalipwa kuliko taasisi nyingine kubwa mnazozifikiria.

Ni katika bodi inayozalisha pesa nyingi kwa nchi.
Kulipwa kiasi kikubwa muda mwingine inaweza ikawa sio kwenye mshahara ila kwenye Allowances,Matibabu mazuri na mengineyo
 
Oyaaa inawezekana kweli mawazo ya kijiweni,mi Sina uhakika hata hivyo 👍
na ndo jamvi lenyewe hilo la kutokuwa na uhakika...tunahitaji data kwanza kabla ya kujadili na sio kusema wanalipwa sana,je tunatumia vgezo gani au vigezo vipi??kwann asingesema nssf,nhc,na taasisi nyingine nyeti za nchi
 
Mi nimewapa awareness watu,sihitaji kuprove chochote.. ni kuwasaidia wale wanaomba kazi waombe na huku pia maana maslahi mazuri
 
Back
Top Bottom