coockie monster
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 373
- 724
Gaming Board wanatisha mkuu.Acha uongo.
Leta salary slips zao kuanzia mwenyekiti wa bodi hadi sekretari tuzione.
Tofauti na hapo ni rumours tu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichokiona sijaamini,pesa ya huko tamu sana na inaliwa kimya kimya sababu hawajadeal sana na public.Na ndiyo sehemu pendwa ya Nchi kujikusanyia Mapato yake.
Oyaaa inawezekana kweli mawazo ya kijiweni,mi Sina uhakika hata hivyo πHahaa...atakuwa kadesa mawazo ya vijiweni
Kulipwa kiasi kikubwa muda mwingine inaweza ikawa sio kwenye mshahara ila kwenye Allowances,Matibabu mazuri na mengineyoWakuu
Wafanyakazi kwenye hii Bodi wanalipwa kuliko taasisi nyingine kubwa mnazozifikiria.
Ni katika bodi inayozalisha pesa nyingi kwa nchi.
takwimu unazo shehe wanguNilichokiona sijaamini,pesa ya huko tamu sana na inaliwa kimya kimya sababu hawajadeal sana na public.
Serikali inafaidika sana na hii Bodi.
na ndo jamvi lenyewe hilo la kutokuwa na uhakika...tunahitaji data kwanza kabla ya kujadili na sio kusema wanalipwa sana,je tunatumia vgezo gani au vigezo vipi??kwann asingesema nssf,nhc,na taasisi nyingine nyeti za nchiOyaaa inawezekana kweli mawazo ya kijiweni,mi Sina uhakika hata hivyo π
Poa mkuu....vijiweni ndipo kuna za chinichini hata hivyo.Oyaaa inawezekana kweli mawazo ya kijiweni,mi Sina uhakika hata hivyo π
Mi nimewapa awareness watu,sihitaji kuprove chochote.. ni kuwasaidia wale wanaomba kazi waombe na huku pia maana maslahi mazurina ndo jamvi lenyewe hilo la kutokuwa na uhakika...tunahitaji data kwanza kabla ya kujadili na sio kusema wanalipwa sana,je tunatumia vgezo gani au vigezo vipi??kwann asingesema nssf,nhc,na taasisi nyingine nyeti za nchi
hahahaha ok sawaMi nimewapa awareness watu,sihitaji kuprove chochote.. ni kuwasaidia wale wanaomba kazi waombe na huku pia maana maslahi mazuri
Nadhani wewe umenipata nilichokua nakiongeaNgoja tumuulize TARIMBA ABBAS