Hakuna Taifa lililoendelea kwa ziara za Rais Nje ya Nchi

Kila siku nakumbuka wimbo wa "migambo wanaruka na kukanyagana".
CCM wanamshauri mwenyekiti wao nnje ya vikao vya chama,mitandaoni!!
CCM hata akija malaika kuwa mwenyekiti wake,kamwe hakiwezi kuwa tofauti na hulka yake ya ufisadi, wizi, uongo, unafiki.
Hivyo ndivyo vitu waviwezavyo kuvifanya vyema kwa asilimia mia (100%) wana CCM.
 
Akili yako fupi kama mavi ya mwisho huwezi kuelewa kitu hata tukuambie vipi. Pole sana msukule wa Mwendazake
 
Umemelaza kila kitu hapo chini,wewe una dhahabu anayetaka atakuja tu,ukimufuata atakupa mashariti anayotaka yeye.
Rais wetu sijui kadanganywa na Nani tu! Maana aliona kila kitu JPM alivyofanya.
Au wanafikiri alikuwa mwehu.
Siyo tunafikiri kuwa Magufuli alikuwa mwehu bali mwenyewe alikiri kuwa ni kichaa. Na Diallo katuthibitishia kuwa tusichague Rais kichaa tena
 
CCM Oyee mmeichagua wenyewe Wacha iwanyooshe
 
Apate muda wa kutulia na familia pia. Ni mama wa familia.

 

Siku zote serikali iwe na control uwezo wa kuamua, maamuzi yote muhimu yanayohusu Wananchi wote,

Ndio maana kuwapa nguvu (Serikali) kuisamimia wewe, wote.
 
Kanunue k-vant nakuja kulipa
 
Utaitwa "sukuma gang" tu hakuna jinsi kwa hao😜❗
 
Mataga naona akili zinawarudia sasa na bado mwenyekitiwenu wa chama aongeze dozi mpaka rangi ya kijani muione nyekundu
 
Kwa bahati mbaya watu wanaoamini hivi itikadi yao niya kijamaa! Mabepali wao wanaaamini kuwa lazima ukope na uombe miasaada ndiyo uendelee kwa bahati mbaya nchi yetu licha kuwa katiba yetu inajielekeza bayana kuwa nchi ya kijamaa lakini viongozi wetu wa pale juu wapo waliomini kwemye ubepari na wanaendanao hivohivo!

Uenda Magufuli anaonekana mbaya sio kwasababu alipiga watu lah ila itikadi yae yakijamaa, mtu kama Membe sijui Lowasa wae wote ni Mabepali na naamini mtu kama Bashiru Ally na Polepole hawatokuja kuwa viongozi tena cos wanaondoka kwenye system wakiwa wanamaamini ujamaa bila kificho lakini manyangau na wale walafi katu hawawataki watu wanamna hii.

Nwisho namalizia kwakusema "Ata Yesu akirudi leo hii wapo wahafidhina watakaotamani wamuue."
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa magufuli hakusafiri miaka yote, mnataka na mama nae ajifungie ndani Kama zuzu??!

Tuambie Nchi gani ambayo Rais wao hasafiri kabisa anajifungia ndani tu
 
Nchi ifunguke kwani ni lini ilifungwa !?? Hizi lugha zingine ni lugha za upigaji tuu.
 
Na huo ndio ukweli.
 
Kikwete alisafiri sana mkamwita Vasco da gama alipokua magufuli hakusafiri mkamwita mshamba na hajui kiingereza. Watanzania bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…