Ulioandika ni utopolo mkubwa.. unsogopa kujitegemeaForeign Direct Investment ni muhimu katika kuzalisha ajira, hebu tuambie strategy gani wewe unaweza kuitumia kupromote ajira?
#Mama zunguka tuletee wawekezaji vijana wapate ajira,waoe wawe na familia na wao wawekeze waajiri wengine.
Hilo neno mbona hata jiwe alikuwa anamuita sana Karamagamba karudi ni la kawaida sanaNitoshe tu kwa kusema wewe ni mpumbavu.
Mimi nakubaliana na wewe sana, FDIs ndio muarobaini wa kukua kiuchumi na sekta ya ajira, uwekezaji mkubwa wa viwanda na sekta nyingine utaleta forex, mzunguko wa pesa na kuongeza ajira,exports etc hivyo hana budi yeye kwenda huko na kuwapa confort wawekezaji, ili waweze kupata imani (confort) na kuleta mitaji yao.Uwepo wa kiongozi mkuu wa nchi sehemu husika na kutoa confort kutoka kwenye kinywa chake ni jambo muhimu sana, Angalia kagame hapo nyuma alibadilisha mfumo na kusafiri kwa nia ya kuwafuata na kuvutia wawekezaji,sasa hivi Rwanda imebadilika sana,kiuwekezaji mpaka viwanda vya magari etc. kuhusu swala la Work permit, hilo lipo kisheria kwamba lazima kuwe na succession plan kwa wazawa, pia ndio incentives za kiuwekezaji,lakini hata wewe umewekeza mtaji wako kwa mara ya kwanza tena mkubwa ili uwe na amani lazima key possitions uweke mtu/watu wako unayemuamini then utatrain na kujenga imani taratibu kwa wengine.Na makampuni mengi nafasi nyingi ni za wazawa kwasababu ni gharama sana kuajiri expatriates kwa kila sekta maana kuwagharamia ni ngumu, na itakuwa ngumu pia kubreak even.so nikiwind up kwa kinywa chake mwenyewe Mama alitamka safari atakazozifanya ni za kuleta maendeleo na siyo za starehe,kwa hilo tumsupport,Foreign Direct Investment ni muhimu katika kuzalisha ajira, hebu tuambie strategy gani wewe unaweza kuitumia kupromote ajira?
#Mama zunguka tuletee wawekezaji vijana wapate ajira,waoe wawe na familia na wao wawekeze waajiri wengine.
Upo vizuri sanaMimi nakubaliana na wewe sana, FDIs ndio muarobaini wa kukua kiuchumi na sekta ya ajira, uwekezaji mkubwa wa viwanda na sekta nyingine utaleta forex, mzunguko wa pesa na kuongeza ajira,exports etc hivyo hana budi yeye kwenda huko na kuwapa confort wawekezaji, ili waweze kupata imani (confort) na kuleta mitaji yao.Uwepo wa kiongozi mkuu wa nchi sehemu husika na kutoa confort kutoka kwenye kinywa chake ni jambo muhimu sana, Angalia kagame hapo nyuma alibadilisha mfumo na kusafiri kwa nia ya kuwafuata na kuvutia wawekezaji,sasa hivi Rwanda imebadilika sana,kiuwekezaji mpaka viwanda vya magari etc. kuhusu swala la Work permit, hilo lipo kisheria kwamba lazima kuwe na succession plan kwa wazawa, pia ndio incentives za kiuwekezaji,lakini hata wewe umewekeza mtaji wako kwa mara ya kwanza tena mkubwa ili uwe na amani lazima key possitions uweke mtu/watu wako unayemuamini then utatrain na kujenga imani taratibu kwa wengine.Na makampuni mengi nafasi nyingi ni za wazawa kwasababu ni gharama sana kuajiri expatriates kwa kila sekta maana kuwagharamia ni ngumu, na itakuwa ngumu pia kubreak even.so nikiwind up kwa kinywa chake mwenyewe Mama alitamka safari atakazozifanya ni za kuleta maendeleo na siyo za starehe,kwa hilo tumsupport,
Uzuri mwendazake kuna misingi aliyotuwekea na kutupa utimamu wa maswala mengi (tuliyokuwa tunachezewa na kupigwa) hasa negotiations skills za kimkataba, na kuhakikisha win win inakuwepo hivyo ni ngumu sana "kudepart" from his theories,kwa hiyo tupo vizuri.Ijumaa kareem
USA anawaomba Switzerland na Japan kwenda kuwekeza USA! Sasa sisi ni wakina nani?Ulioandika ni utopolo mkubwa.. unsogopa kujitegemea
Ooh na BTW TIC wameongeza pia Immigration Quota kutoka 5 expatriates hadi 10 kwenye lifetime nzima ya project. Amendment kwenye Non-Citizen Act. Well ajira zinaongezeka lakini mark my words siyo kwa wazawa......USA anawaomba Switzerland na Japan kwenda kuwekeza USA! Sasa sisi ni wakina nani?
Unaifahamu TIC?
Je, unajua maana ya foreign currency? Technology and expertise importation? Vipi kuhusu ajira ambazo zitaongeka na kuleta NSSF contributions ambazo pia serikali hukopa hizi fedha kufadhili miradi mfano ni Nyerere bridge, unajua lilipo?
PAYE,SDL,WH/Tax, workers union contribution, NHIF contribution and so on...
Yapo mengi ya kuandika, pseudo nationalist kama wewe ni hatari kwa ustawi wa Taifa letu.
Watanzania ni watu "wanaoteswa" na viongozi wao.juzi tu, watu WALIKUWA wanamsema magufuli,hatoki,kajifungia,anaogopa ndege.
Leo tena lawama mama kiguu na njia,mama hatulii,mama hakai nyumbani.
Lipi Bora kwenu
KWA hyo we ni mama anguNyumbu unao wadharau ni walio kuzaa
Nyumbu ni walio kuzaa kama una ubongo utajua tuKWA hyo we ni mama angu
upo upande gani, mkuu?The praise team at work
Ni kweli maana hata TOZO,bei za vifurushi,mgao wa maji,kukatika umeme hovyo,Mfumuko wa bei ni Sukuma gang tu ndo wanaugulia.Ninchojua sukuma gang woote mmepigwa daflao
Mimi ninajitambuaupo upande gani, mkuu?
So mama anaupiga mwingi kwenu tu,maana wengine Tozo haziruhusi.Tozo wewe hazikuhusu wewe maana hiyo ela ya kula tu huna sasa za kufanya transactions unaziiba wapi
Nisha kupiga block hivyo sitaona pumba zako tena.So mama anaupiga mwingi kwenu tu,maana wengine Tozo haziruhusi.
Kawaida ya nyumbu pia Wana re-semble mawazo kama yako
Wawekezaji wanaangalia sera za nchi na aina ya uongozi na sio kuzurura kwa kiongozi ndo uleta Wawekezaji.Foreign Direct Investment ni muhimu katika kuzalisha ajira, hebu tuambie strategy gani wewe unaweza kuitumia kupromote ajira?
#Mama zunguka tuletee wawekezaji vijana wapate ajira,waoe wawe na familia na wao wawekeze waajiri wengine.
[emoji23][emoji23][emoji23] mabembea ya JamaicaKwa hiyo kwa safari hizi tutafaidika sana? Atamzidi Kiwete kufika kwenye mabembea ya Jamaica? Alifikia hadi kupokelewa na wanamziki tu lakini yeye yumo!
View attachment 2007164
Tanzania pagumu sana. Sasa hivi wameshapitisha amendments za kuwaongezea wageni muda wa vibali vya kazi kutoka cumulative 5 years hadi 8. Sasa ajira kwa wazawa zitatoka wapi? Mtoto hadi anaingia sekondari huyo mgeni yupo yupo tu...
Swali je, kuna huo urahisi wa ajira kwa watanzania nchi anazozitembelea Madame President??? Sasa hawa expats hawana muda wa kutransfer skills.... huku unemployment levels za graduates zinaongezeka. Sad story our beloved country.