Hakuna Taifa lililoendelea kwa ziara za Rais Nje ya Nchi

Unasoma shule zetu hizi za kata halafu unafika kwenye uamuzi unasahau vipau mbele vya nchi ajira na si viwanda vya wageni kwa ajira ya wageni "watu wao"
 
S
uluhisho ni kuifuta ccm na viongozi wake kwenye uso wa dunia
 
Hakuna Taifa linaloendelea kwa viongozi wake wa juu kujifungia ndani kama utumbo. Halipo na halijawahi kuwepo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706]Sasa wewe upo development stage kama hiyo usa?
 
Acha upumbavu,tofautisha ziara ya kualikwa,kuhudhuria mikutano na ziara zingine,we unaongelea rais wa marekani yeye anatembelea nchi kwa sababu zipi?na rais wetu anafanya ziara kwa ajili ipi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kama akili ni kuvuta wawekezaji nakubaliana nalo ila kama akili hio inaongezeka na kuwa kuvuta wawekezaji na kupindisha mikataba ili 10% ziishie kwa waziri husika naomba tuletewe Magufuli mwengine!
Bado akili hazijakaa sawa!
 
Foreign Direct Investment ni muhimu katika kuzalisha ajira, hebu tuambie strategy gani wewe unaweza kuitumia kupromote ajira?

#Mama zunguka tuletee wawekezaji vijana wapate ajira,waoe wawe na familia na wao wawekeze waajiri wengine.
Yupo juu ya fail tena unaanzaje kumpinga[emoji2211]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…