Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu

Tajiri ana pesa kiasi gani? Kila mtu ana maana tofauti ya tajiri. Kwa mmoja mtu anayepata chakula kila siku ni tajiri kwa mwingine mtu mwenye bilioni 100 tsh ndo tajiri, mwingine atamwona huyo ni masikini bado....Utajiri ni kama urefu, hata mbilikimo ni mrefu kwa mbilikimo mwingine, na mfupi kwa mtu mwingine
 
Tajiri ni mtu ambae Kila dakika anaingiza hela na hela inagia kwenye acc
😹😹Afu ww sio tajiri au?
 
Back
Top Bottom