Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu

Madhabau -alter

Utajiri upo wa aina mbalimbali

Utajiri wa mali na pesa
Utajiri wa watu
Utajiri wa akili na maarifa
Utajiri wa kiroho.
Utajiri wa Afya mwili na Akili

So ni utajiri gani hapo unahotaji madhabau.

Watu wanafanya Kazi kwa bidii na hawategemei Biashara moja .

So ni muhimu tukaelewa na hilo swala.
 
Madhabau -alter

Utajiri upo wa aina mbalimbali

Utajiri wa mali na pesa
Utajiri wa watu
Utajiri wa akili na maarifa
Utajiri wa kiroho.
Utajiri wa Afya mwili na Akili

So ni utajiri gani hapo unahotaji madhabau.

Watu wanafanya Kazi kwa bidii na hawategemei Biashara moja .

So ni muhimu tukaelewa na hilo swala.
 
Umemaliza mtu yoyote mwenye kiwango kikubwa cha fedha hategemei chanzo kimoja cha fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…